contact

husen

Wednesday, July 4, 2012

HUYU NDIO BOSS WA FACEBOOK ALIEFUNGA NDOA NA HUYU MWANAUME MWENZAKE, NA HIKI NDIO WALICHOFANYA FACEBOOK.

Baada ya mmoja wa waanzilishi wa mtandao wa kijamii
 wa facebook Chris Hughes kufunga ndoa ya jinsia 
 moja na mpenzi wake wa muda mrefu bwana 
Sean Eldridge jumamosi iliyopita huko New York City,
 USA last Saturday, the social networking website 
chose to symbolically introdMtandso huo umeamua
 kuongeza kitufe kitakacho ashiria ndoa za jinsia 
moja kwenye relationship status za mtandao huo.
Kwa kawaida ilikua mtu akioa kwenye page yake ya
 facebook anaruhusiwa kubadilisha status ambapo
 kitufe cha facebook huwa kinaonyesha mwanaume 
na mwanamke lakini kwa sasa inaweza kuwa 
mwanaume kwa mwanaume au mwanaume 


kwa mwanamke.

Mabadiliko haya sio mapya kwenye mtandao wa
 facebook katika harakati za kwenda na wakati 
kwani 2011 facebook iliongeza kitufe cha kuonyesha
 kwamba ndoa imefungwa mahakamani hatua 
ambayo ilionekana kuunga mkono ndoa za
 kimahakama za watu wa jinsia moja.
Pamoja na hilo facebook imekua inatoa support 
kwa asasi zisizo za kiserekali ambazo zimekua
 zikiweka kipaumbele kwenye kutetea haki
 za mashoga na wasagaji.

source millardayo

No comments:

Post a Comment