contact

husen

Thursday, May 31, 2012

FRENCH MONTANA ft LIL WYNE ,RICK ROCC& DRAKE- POP THAT BEHIND THE SEEN


ICE T KUTOKA NA THE ART OF RAP

Ice T gave kutoka na filamu mpya , The Art of Rap 

.documentaryhiyo hip-hop 

veterans kama Grand Master Caz, Afrika Bambaataa, Rakim, Snoop Dogg,

 MC Lyte, Nas, Yaasin Bey, Run DMC, Ice Cube, Cypress Hill

 and Eminem  pamija na wengine kibao.


KICHUPA KIPYA TOKA KWA TYGA


TI KUTOKA NA NEW JOINT


Septemba tarehe 4 ndo mwezi amabao album ya mkali wa ngoma

 “ Live Your Life” ft. Mwanadada  Rihanna na

 album yake ambayo inasubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa Hip Hop

 duniani inayoitwa “Trouble Man” ambayo ni album yake ya nane. Akipiga

 stories na Shade45’s DJ Whoo Kid, T.I kabla alisema kuna ngoma ambayo 

amefanya na wakali wawili wakali katika game Andre 3000 na Kanye West.

 Akaongeza kabla haijaisha kuna wasanii wengine wakubwa ambao anategemea

 kuwashirikisha ni pamoja na Katy Perry, Bruno Mars na Santigold atafanya

 mpango awe ameshafanya nao mpaka ikikaribia tarehe ya kuachia

 album ya “Trouble Man” awe ameshamalizakugonga nao kazi.


Wednesday, May 30, 2012

STARZ YAKABIDHIWA BENDERA

NAibu waziri wa habari, vijana, Utamaduni na Michezo Amos makalla 

akimkabidhi bendera ya Taifa Nahodha wa Stars Juma Kaseja, wakati

wa hafka ya kuiaga timu hiyo leo kwenye hoteli ya Tansoma.Stars inaondoka

 alfajir ya kesho kwenda Ivory Coast kwa ajili ya mchezo wao wa

 mchujo wa komve la Dunia utakaopigwa juni mbil.Wengine ni

 meneja wa bia ya Kilimanjaro inayoidhamini9 timu hiyo George Kavise, 

Mwenyekiti wa BMT Dioniz Malinzi na Kocha wa Stars, Kim Poulsen.


RATIBA YA UCHAGUZI YANGA


MHHHHHHHH



Tuesday, May 29, 2012

MAY BACH USO KWA USO NA MENEJA WA CASH MONEY


SHOW YA DIAMOD BBA


YOUNG JEEZY AM SIGN TONE TRUMP

·     
Rapa ambaye anafanya vizuri na album yake ya TM 103” husteling
 ambishion mtumzima Young Jeezy ameconfirme kumsign 
Rapa kutoka pande za Philladelphia mtumzima Tone Trump 
kupitia official twitter account yake, Jeez aliposti ujumbe mfupi
 uliosomeka “CTE WELCOMES TONE TRUMP TO THE FAMILY,”
Kwa upande wake Tone Trump amesema kuwa kwake ni kama
 ndoto aliyokuwa nayo muda mrefu na anamshukuru MUNGU
 kuwa Ndoto yake imekuwa ya Kweli,
Ton e amesema kuwa now jeez iz my brother and ma’ CEO na
 kuongezea kuwa kwa sasa wako kwenye mchakato wa kufanya
 ngima waliypipa jina la “Afghan” so get ya’
 self-rady 4 dis

MARY J BLIGE ADAIWA $250,000


The RnB and pop singer mwana Dada  Mary J. Blige pamoja na Steve 
Stoute Foundation  ambayo inahusika zaidi na maendeleo ya
 wanawake maji ya shingo ymewafika.
Inadaiwa kuwa Mary J kupitia foundation hiyo walikopa kiasi
 cha Dolla za kimarekani $250,000  katika Bank TD mwezi June
 mwaka 2011 kwa lengo la kuendesha mradi huo na walikubaliana
 kurudisha mkopo huo wa Bank itakapofika.  December 2011 ila
 haikuwa hivyo badala yake waliipa kiasi cha Dolla $368.33 tu.
Na badala yake benki hiyo iliamua kuwapelekea barua iliyowafahamisha
 tarehe ya mwisho ya kulipa deni hili kabla ya kulifikisha swala
 hili kwenye vyombo vya Dolla ambayo ilikuwa ni tarehe 7 mpaka 29
 mwezi February lakini waliamua kupuuzia swala hili. Na badala yake
 benki hiyo imeamua kuwashtaki kwa kulipeleka swala
 hili mahakamani

SHETA ft DIAMOND NIDANGANYE





Sunday, May 27, 2012

MANEKE AMCHUKLIA POA ALIKIBA

The best producer wamwaka 2011/2012 Maneke amefunguka
 na kukata mzizi wa fitna kuhusu kuwepo kwa uvumi kwamba
 amem maindi Bongo fleva artist Alikiba aka the Single Boi 
mara baada ya kitendo chake cha kupiga clip kadhaa za 
kichupa cha single boi katika studio za B Hits Music Group
 wakati ngoma hiyo alii produce yeye mwenyewe katika
 studio za AM Records. Lakini
 piaManeke alialikwa 
location ili kutokelezeakatika kichupa hicho lakini 
hakutokea location. . Maneke amesema
 hajamaindi chochote na maisha yanaendelea

kuchekikichupa hicho bofya play
  




GOLI LA ASHELY YOUNG


SUPER STAR JUMAPILI YA LEO



Saturday, May 26, 2012

KUJIUZULU KWA NCHUNGA KUMALIZA MIGOGORO YANGA?


KOCHA MPYA ENGLAND AANZA VYEMA



Roy Hodgson ameanza kuiongoza timu ya taifa ya England vyema
 kama meneja, kwa kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Norway,
 katika uwanja wa mjini Oslo wa Ullevaal.Bao la Ashley Young
 limempa nguvu meneja Hodgson katika mechi yake ya kwanza
 kama meneja wa EnglandKabla ya mechi hiyo, England ilikuwa
 imeshindwa kuishinda Norway katika kipindi cha miaka
 32 iliyopita.Ashley Young ndiye aliyefunga bao hilo la pekee
 katika mechi hiyo, katika dakika za mwanzomwanzo za mechi
 hiyo ya kirafiki. Hodgson alipata nafasi nzuri ya kuwatizama 
wachezaji wa England ambao ataweza kuwashirikisha zaidi
 katika juhudi zake za kuisuka vyema timu yake itakayoshiriki
 katika mashindano ya Ulaya ya Euro 2012, baada ya kuchukua
 kazi hiyo kutoka kwa Fabio Capello.Timu ya England
 ilionyesha nidhamu ya hali ya juu na anayoitazamia
 Hodgson, lakini wengi bila shaka wanafahamu timu
 ambayo England itakutana nayo, Ufaransa, tarehe 11
 mwezi Juni katika mji wa Donetsk, haitacheza sawa na
 timu waliyopambana nayo mjini Oslo.Lakini yalikuwa ni
 mazoezi ya kuridhisha kwa Hodgson, ambaye sasa ataweza
 kukinoa kikosi chake vyema zaidi katika mechi nyingine
 ya kirafiki katika uwanja wa nyumbani wa Wembley, 
Jumamosi ya tarehe 2 Juni, wakati England 
itakapoikaribisha timu ya taifa ya Ubelgiji.
Chanzo BBc Swahili

MADEMA WAVAMIA KITUO KIKUU CHA POLISI ZANZIBAR

Kundi la UAMSHO ambalo limekuwa
 likipinga muungano wa Tanganyika na 
Zanzibar limevamia kituo kikuu cha polisi
 MADEMA huko visiwani Zanzibar na 
kusababisha vurugu kubwa sababu ikiwa 
ni kushinikiza kuachiliwa kwa kiongozi
 wao ambaye  amekamatwa mara baada
 ya kuitisha mhadhara usio na 
Baraka za Serikali