contact

husen

Sunday, July 28, 2013

ANGALIA PICHA ZA MBONI SHOW ALIVYOFUTURSHA HUKO KARIMJEE HALL DAR ES SALAAM LEO...

 Mh. Alhaj Ally Hassan Mwinyi Akiwa na Sheikh wa Mkoa Wa Dar es Salaam
BONYEZA READ MORE KUONA ZAIDI MTU WANGU......

"WALIOPENDEKEZA SERIKALI TATU NI WAZEE WANAOSUBIRI KUFA"...NAPE NNAUYE


MZIMU wa serikali tatu bado unaendelea kukitesa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambapo jana, Katibu Mkuu wa Itikadi na Uenezi, Nap

AIBU: KAMANDA WA CHADEMA AREKODIWA AKIJIELEZA JINSI ALIVYOKUBALI KUCHEZEWA NYETI ZAKE NA KUSAGWA NA JIKE MWENZAKE



Miezi michache baada  ya  kuvuja  kwa  video  inayomuonesha  mkurugenzi  wa  ulinzi  na  usalama  wa chama  cha  demokrasia  na  maendeleo (CHADEMA),Wilfred Lwakatare  akidaiwa  kupa

HASHEEM THABEET AIBUKIA NDANI YA BONGO STAR SEARCH


1014055_583040755079983_1736572220_n

Jaji mkuu wa BSS Rita Paulsen aliandika kupitia ukurasa wake wa facebook kwamba, “Rafiki yangu Hasheem Thabeet alikuja kuwapa moyo

Monday, July 22, 2013

PICHA ZA RAIS KIKWETE ALIPOWAONGOZA WANANCHI KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA WANAJESHI WALIOFARIKI DARFUL


Rais Jakaya Kikwete, mkewe Mama Salma, wakitoa heshima za mwisho mbele ya majeneza yenye miili ya Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) waliopoteza maisha Jimboni Darfur nchini Sudan Julai 13, 2013 kutokana na shambulizi la ghafla, wakati wa zoezi la kutoka heshima zao za mwisho kuaga miili ya askari hao leo katika Uwanja wa Wizara ya Ulinzi Upanga jijini Dar es Salaam.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya majeneza yenye miili ya Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) waliopoteza maisha Jimboni Darfur nchini Sudan Julai 13, 2013 kutokana na shambulizi la ghafla, wakati wa zoezi la kutoka heshima zao za mwisho kuaga miili ya askari hao leo katika Uwanja wa Wizara ya Ulinzi Upanga jijini Dar es Salaam. 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akitia saini katika Kitabu cha Maombolezo ya Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) waliopoteza maisha Jimboni Darfur nchini Sudan kutokana na shambu

PAPII KOCHA ATUMA UJUMBE MZITO KWA RAIS KIKWETE. ADAI ANATAMANI KIAMA IFIKE MAPEMA...!!



                                                                                               MF/NA: 836'04 Johnson Nguza
(Papii Kocha) Gereza Kuu Ukonga
S.L.P 9091
Dar es Salaam
Mh. Rais Jamuhuri ya Muungano Tanzania

YAH: MAOMBI YA KUPEWA MSAADA (MSAMAHA) WA KUFUTIWA ADHABU YA KIFUNGO NILIYOPEWA NA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU.
Husika na somo hilo hapo juu. Mimi ni mfungwa katika gereza kuu Ukonga. Kwa heshma na taa

UFAFANUZI KUHUSU BOMU LILILOPIGWA JANA KATIKA MKUTANO WA CHADEMA

Ikiwa ni takribani mwezi mmoja tu tangu bomu lilipolipuka kwenye mkutano wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), mkoani Arusha, jana tukio kama hilo lilitokea jijini Dar es Salaam kwenye mkutano wa Mbunge wa Ubungo (Chadema), John Mnyika, ambao aliutishia kwa lengo la kuwaelezea wananchi mrejesho wa yaliyojiri bungeni hivi karibuni na kuhamasisha wananchi kushiriki kutoa maoni kwenye rasimu ya Katiba mpya.
Tofauti na Arusha, jana bomu hilo lililipuka likiwa kwenye gari la Polisi waliokuwa kwenye mkutano huo katika viwanja vya Sahara, katika Kata ya Mabibo jijini Dar es Salaam na kuibua taharuki kubwa kwa wananchi na wafuasi wa Chadema waliokuwa wamehudhuria mkutano huo.

Polisi wamethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kueleza kwamba bomu hilo lililipuka k

"WANAOPINGA KODI YA LINE ZA SIMU NI WANAFIKI WASIOPENDA MAENDELEO "....MIZENGO PINDA

WAKATI Serikali ikiahidi kutazama upya tozo ya Sh 1,000 kwa laini za simu ili kupunguza mzigo kwa wananchi, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, amesema tozo hiyo si ya kuwaumiza wananchi bali mapato yake yatakwenda moja kwa moja kusaidia kueneza umeme vijijini.

Alisema hayo alipozungumza kwenye mkutano wa hadhara mjini Songea juzi, katika ziara yake ya wiki moja mkoani Ruvuma, baada ya kuutembelea mkoa mpya wa Njombe.

“Ni kama vile tozo iliyoongezwa kwenye mafuta ya petroli, ambayo imetupa fedha nyingi kw

ASKARI WA JWTZ WALIOUAWA DARFUR KUAGWA LEO MAKAO MAKUU YA JESHI


Askari saba wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), waliouawa katika jimbo la Darfur nchini Sudan, wanatarajiwa kuagwa leo kwenye viwanja vya makao makuu ya jeshi hilo.

Miili ya wanajeshi hao iliwasili nchini juzi kwa ndege maalumu katika Uwanja wa Ndege wa K

JOSEPH LUDOVICK AFUNGUKA....ADAI KWAMBA MATESO YOTE ANAYOYAPATA NI KWA AJILI YA CHADEMA


SIKU chache baada ya Mahakama kumuachia kwa dhamana mshitakiwa mwenza wa Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wilfred Lwakatare, Joseph Ludovick, amefunguka na kuelezea tuhuma ambazo zimekuwa zikielekezwa kwake, ikiwamo uhusiano wake na Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mwigulu Nchemba.

Ludovick

MSANII SHETTA AMALIZA BIFU NA BABA YAKE BAADA YA KUZINGUANA TANGU AKIWA NA MIAKA 7

 Baraka za mwezi Mtukufu wa Ramadhan zimeitembelea familia ya Baba Qayllah, Shetta Bilal. Baada ya miaka mingi ya maelewano hafifu na baba yake mzazi, leo baba na mwanae wameamua  kusameheana

Kupitia Instagram, Shetta amepost picha (hiyo juu) akiwa na baba yake mzazi Mzee Bilal ambaye ni Sheikh, pamoja na mdogo wake Awab na kuandika: Wit my daddy n my young broda Awab….. #happyday baada ya miaka mingi kuwa

UBAGUZI WAZIDI KUIANGAMIZA CHADEMA


UBAGUZI baina ya vyama vya upinzani uliopata nguvu bungeni wakati wa kuanzisha Kambi Rasmi ya Upinzani chini ya Chadema, umeanza kutafuna chama hicho chenye ushawishi mkubwa kuliko vyama vingine vya upinzani Tanzania Bara.



Uundwaj

POLISI MKOANI MWANZA YAFAFANUA KWA KINA KUHUSU VIELELEZO VYA KESI VILIVYOIBIWA KITUONI HAPO


WATU wasiofahamika idadi yao wanaodhaniwa wezi, wameiba vielelezo katika stoo ndogo ya Kituo Kikuu cha Polisi Kati, Wilaya ya Nyamagana, mkoani Mwanza baada ya kuvunja madirisha.

Tukio la wizi huo lilifanyika Julai 15, mwaka huu, majira ya usiku wa kuamkia Jumat

Saturday, July 13, 2013

PREZZO BAADA YA KUMPONDA DIAMOND MASHABIKI WAMVAA


Msanni Prezzo wa Kenya  atakuwa amepata sample ya majibu ya baadhi ya fans wake ambao wengi ni wakenya baada ya kumdiss Diamond Platinumz wa Tanzania kupitia akaunti yake ya twitter July 10.


Sample ya majibu hayo ina

RAIS SHEIN AKUTANA NA WAZIRI WA UINGEREZA MARK SIMMOBDS ANAYESHUGHULIKIA MASUALA YA AFRIKA

DIAMOND NA MAMA YAKE KUMBE TOKA KITAMBO


Weka caption....

BAADA YA WANAFUNZI KUCHAFUA HALI YA HEWA,TEKU SASA WAANZA KULIPA FEDHA ZAO


 Vice Chancellor wa TEKU Prof. Dr. Tuli Kas

WAZIRI MKUU, MIZENGO PINDA NA MKEWE TUNU WAMTEMBELEA BABA WA DEO FILIKUNJOMBE

MAONI : UVCCM wahimiza Serikali mbili tu

‘Uwapo wa Serikali tatu ni kuongeza gharama za uendeshaji na badala yake fedha hizo zinaweza kuelekezwa katika miradi ya maendeleo yenye tija kwa taifa.’ Katibu Mkuu wa UVCCM, Martine Shigela  
Na Ibrahim Yamola na Irene Mossi, Mwananchi  (email the author)

Kwa ufupi
  • Kauli hiyo ya UVCCM, inakwenda sambamba na ile ya Chama hicho iliyotolewa na Katibu wa Iti