Baada ya
kuungwa mkono na Willy Smith
na Jay z katika suala zima la
kuafiki ndoa
za jinsia moja. .
Raisi wa Marekani Barak Obama
amepingwa vikali na bondia mwenye
mvuto na anayekubalika duniani
‘ manny’ Dapidran Pacquiano
amesema
mungu alitazamia
mwanamke amuoe
mwanaume
kama wanapendana.
Pia many alienda
mbali na
kusema
kukubali ndoa za jinsia moja
ni kurudisha
Sodoma na Gomora
|
No comments:
Post a Comment