contact

husen

Friday, June 29, 2012

STELLA MWANGI- BAD AS I WANNA BE (official video)


KANYE WEST NA ANJA RUBIK WAFANYA VIDEO PROMO YA 25 MAGAZINE


Kanye West ameungana na model Anja Rubik katika
 video promo ya fashion magazine 25. Hivi sasa
 rapa Kanye ameachia  sneakers mpya zenye chapa
 ya nike na pia nguo mpya kwaajili ya wanawake
 huko Paris, France na sasa yujo na Anja Rubik
 kwaajili ya magazine 25
Wawili hao wameungana kwa pamoja na na mpigaji
 wa picha na pia mwongozaji wa filamu 
Barnaby Roper kwaajili ya kutengeneza promo hiyo

CASIE GILFRIEND WA DIDY KATIKA MODELING SHOOT





MTOTO WA BEYONCE KUONEKANA HADHARANI SIKU YA TUZO ZA BET


Exclusive infoz ambazo zimepatikana ni kwamba Beyonce 
 atahudhuria katika awards za BET mwaka huu akiwa
 na binti yake BLUE IVY na itakuwa ndio mara ya 
kwanza kwa motto wake huyo kuonekana hadharani
 katika halaiki. Kwa mujibu wa mfukunyuku aka
 mdaku ambaye amevujisha info hizo anayepatikana 
katika camp ya Beyonce  ni kwamba kutakuwa na
 EXTRA SECURITY kwaajili ya kuhakikisha hakuna 
bugudha yoyote ambayo ataweza kuipata 
 na kutakuwa na walinzi watano ambao 
watamzunguka muda wote




LAURYN HILL KUANZA KUTUMIKIA KIFUNGO CHA MIAKA 3 MWEZI NOVEMBER


Kwenye Mahakama moja ya New Jersey siku ya ana 
ijumaa ndio kesi ya Lauryn Hill iliendelea kusikilizwa
  ambapo staa huyu wa muziki yuko kwenye hatari
 ya kwenda jela kwa miaka mitatu kutokana na
 kukwepa kulipa kodi ya dola za kimarekani milioni
 1.8 kati ya 2005 and 2007, ambapo atatakiwa
 kuanza kutumikia kifungo chake November mwaka huu.
According to AP ni kwamba Staa huyu amekutwa 
na hatia baada ya kukiri kwamba alishindwa kulipa
 kodi kitu ambacho ni kosa la kisheria, ilikua
 aanze kutumikia kifungo October lakini
 amesogezewa mpaka November ili apate time ya 
kulipa hizo pesa imsaidie kukwepa kwenda jela.

RAY THE GREATEST ON MKASI TV


OMOTOLA ARUDI KWAO NIGERIA



AZNEEM - KWASA KWASA


DK ULIMBOKA AKIWA HOSPITALI



RICK ROSS NA DRAKE KUTOKA NA Y.O.L.O



Rick Ross ametoa moyo kwa mashabiki wake na kuwasihi
 wae na subira kwani anatarajia kujiunga na Drake kwaajili 
ya kutoka na albam ya pamoja na kuongeza ya kwamba 
kuna asilimia kubwa sana za jambo hilo kufanikiwa.
Mengi yamekuwa yakisemwa juu yaproject hiyo
 lakini kwa
 taarifa za awali ni kwamba project hiyo itaitwa Y.O.L.O 
na mcz wote wawili wameshasema ya kwamba
 kazi hiyo itafanyika
Rick Ross ameieleza MTV’s Rap Fix

It’s still a huge possibility," he noted. "Me and 
the homie Drake
 stay in contact and we record often. It’s just 
us making 
that decision and then moving forward with it. 
I was just focusing on  Self made 2and finishing 
my album,
 God Forgives, I Don’t

Na kumalizia kwa kusema mengi mazuri
 yatarajiwe kutoka kwao

MARY J. BLIGE AJUTIA KUTOKELEZEA KATIKA TANGAZO LA BURGER KING

Mary J. Blige amesababisha mabishano mara baada ya 
kutokelezea katika tangazo la Burger King kwani kile
 kinachoonekana katika tangazo hilo kinaashiria ubaguzi
 wa rangi. MJB ameamua kuvunja ukimya ndani ya
97's The Angie Martinez Show 
MJB amesema ya kwamba hadhani kama kuna haja ya 
yeye kusema chochote kwasababu kila mtu alikuwa
 akimzungumzia vibaya na kiukweli alihisi
 kuchanganyikiwa kwani kwa mtazamo wake 
alidhani ya kwamba ingekuwa ni nafasi nzuri ya 
kupata nafasi ya kupata branding opportunity na
 kuongeza ya kuwa kila mara anapoingia kaika mtandao 
kusikiliza remix ambayo ameifanya na Fat Joe anajaribu
 kufikiria kinachomjia akilini ni Burger King,
 chicken na buffoonery, na kiukweli kinazidi 
kumuumiza moyoni
Hadi sasa tayari nimeshaelewa ni kwanini watu
 wamekasirika mara baada ya kuona tangazo 
hilondio maana walikuwa wakitoa comment mbaya

"I understood the laughter and the jokes and the stuff 
that was happening you're supposed to do that when
 something like that happens but the thing that hurt me 
is when people were starting to say vicious,
 negative things that didn't have anything
 to do with that," she continued. "It

"It was a mistake and I did it because 
I thought it was something that wouldn't 
come out like that. No one had mercy, and it's cool,
 it was a learning experience. It hurt my feelings,
 it crushed me for two days, but after those two days,
 I got up and I kept going. I want to apologize
 to everyone that was offended or thought I would 
do something so disrespectful to our culture. 
I would never do anything like that purposely."

GILFRIEND WA CHRIS BROWN AJIHUSISHA KATIKA MAPENZI YA JINSIA MOJA


Baada ya kuwepo kwa uvumi wa muda mrefu kuwa 
Girlfriend wa Chiss Brown. . Karrueche. Ana
 date na Draya ambaye naye ni ex GF wa 
Chris Brown. Hapo awali hakuna mtu ambaye
 aliweza kuwaza kuwa kitu kama hicho kinaweza 
 kutokea lakini ushahidi ambao umekuja 
kupatikana umedhihirisha ya kwamba wawili 
hao wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja.
May 31 Karrueche ali tweet "on a date"
 with Draya, a former SKRIPPER and GROUPIE.
 Siku mbili zilizofuata wote wawili wali tweet  
 excited about going on "a date." Kitu ambacho 
kilidhihirisha ya kwamba wawili
 hao walikuwa pamoja usiku huo




Thursday, June 28, 2012

QUINCY JONES AMTAKA DIDY KUACHANA NA MUZIKI



Quincy Jones amesema P Didy anatakiwa 
kuiga vitu vingi
 kutoka kwake hususan katika maswala 
mazima ya muziki.
 Japokuwa amekuwa akifanya poa
 katika game ya 
Hip Hop. Quincy Jones mabaye alipiga kazi ya
 kueleweka katika kutayarisha albam ya
 Michael Jackson Off the Wall, Thriller . 

alifunguka na kwenda mbali zaidi kwa 
kusema anahdhani
 ya kwamba Didy anaonekana kufanya
 poa zaidi katika biashara na sio
 muziki kwasababu 
kampuni zake za nguo pamoja na 
 Ciroc vodka