contact

husen

Friday, June 29, 2012

RICK ROSS NA DRAKE KUTOKA NA Y.O.L.O



Rick Ross ametoa moyo kwa mashabiki wake na kuwasihi
 wae na subira kwani anatarajia kujiunga na Drake kwaajili 
ya kutoka na albam ya pamoja na kuongeza ya kwamba 
kuna asilimia kubwa sana za jambo hilo kufanikiwa.
Mengi yamekuwa yakisemwa juu yaproject hiyo
 lakini kwa
 taarifa za awali ni kwamba project hiyo itaitwa Y.O.L.O 
na mcz wote wawili wameshasema ya kwamba
 kazi hiyo itafanyika
Rick Ross ameieleza MTV’s Rap Fix

It’s still a huge possibility," he noted. "Me and 
the homie Drake
 stay in contact and we record often. It’s just 
us making 
that decision and then moving forward with it. 
I was just focusing on  Self made 2and finishing 
my album,
 God Forgives, I Don’t

Na kumalizia kwa kusema mengi mazuri
 yatarajiwe kutoka kwao

No comments:

Post a Comment