contact

husen

Thursday, April 11, 2013

MZEE MAANDELA ARUHUSIWA KUTOKA HOSPITALI


Rais mstaafu wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, 
ameruhusiwa kutoka hospitali ambako akitibiwa homa
 ya mapafu yaani pneumonia kwa siku kumi.

                                       Serikali imetoa taarifa kusema kuwa hali ya Bwana Mandela, 
mwenye umri wa miaka 94, imetengenea sana na ataendelea
 kutibiwa nyumbani.
Hali ya Bwana Mandela ilishtusha mwezi Disemba mwaka
 jana ambapo alilazwa hospitali kwa karibu majuma matatu kwa 
sababu ya ugonjwa wa mapafu na kijiwe kwenye nyongo.
Rais Zuma aliwashukuru matabibu na wauguzi kwa jitihada yao ya 
kumuungalia Bwana Mandela kwa uzuri.

RAILA NA KALONZO WAREJEA KENYA


Sunday, April 7, 2013

PICHA KUTOKA FACEBOOK



Photo: Utafanya usafi wa kila kitu humu ndani, Mi naenda kazini....

Fua kila kitu kwa Order ya Boss...

Photo: TILALILAAAAAAA.....

WISH YOU A HAPPY BIRTHDAY BABA MPENDWA MR SADIK MHINA


THE LATE STEVEN KANUMBA aka THE GREAT AMETIMIZA MWAKA MMOJA TOKA ALIPOFARIKI








TAARIFA YA KWAMBA DIDY NDIYE RAPA MWENYE MKWANJA MREFU SIO SAHIHI HATA KIDOGO



katikati ya wiki iliyopita  FORBES MAGAZINE lilimtangaza rapa Diddy kwamba ndiye rapa anayeongoza kwa kuwa na mkwanja mrefu zaidi ambao ni zaidi ya $500M.lakini ukweli ni kwamba kiwango hicho sio sahihi na kuna tetesi ya kwamba Didy hana mkwanja kihivyo na huu ndio ukweli.
Hackers released Diddy's credit report earlier this week, and it showed some CRAZY ISH (so we hear). Here is what his credit report showed:
-Diddy is more than 90 days late on a home equity loan – and he has been this late for the past 3 years!!

-One of Diddy’s homes was FORECLOSED upon – for $622K

-One of his AMEX Black cards was sent into COLLECTIONS late last year.

-Diddy likes to floss, he once owed $1.8MILLION – in credit card expenses.
What he FREAK is up with that . . . we ain't never heard of no one THAT RICH getting their home FORECLOSED!!!

Friday, April 5, 2013

HII NDIO TATOO YA KAJALA



KAMA UNATUMIA DALA DALA HII INAKUHUSU



PICHA 4 ZA JAY Z PAMOJA NA BEYONCE WAKISHEREKEA MIAKA 5 YA NDOA YAO HUKO CUBA







Jay-Z & Beyonce Head To Havana, Cuba For Their 5th Anniversary


EX GIRLFRIEND WA CHRIS BROWN KARRUECHE SASA ANATKA NA STAR WA NBA


NBA baller John Wall is now dating Chris Brown's EX Karrueche. 
The two have been SEEING each other recently (and sub-tweeting each other).
But now, we're told, that it's official. Karrueche got herself a new
 BALLER. Oh, and John Wall ain't just ANY OLD PLAYER. 
He's up for contract this year and is expected to get the
 HIGHEST CONTRACT ALLOWABLE under NBA rules.

STORI KWA HISANI YA MEDIATAKEOUT

HAWA NDIO PANYA WANAOPEWA MAFUNZO YA KUGUNDUA MABOMU YALIYOTEGWA ARDHINI HUKO MOROGORO

Shirika moja lisilo la kisrikali la huko
 Ubelgiji APOPO
 limeanza kuwfundisha panya namna ya
 kutambua mabomu
 katika ardhi, panya hao wanafanyiwa
 majaribio mkoani
 Morogoro hapa Tanzaania



Panya hao ni wakubwa kuliko panya wa kawaida na 
walianza kupewa mafunzo hayo tangu mwaka 2000 
kwa kunusishwa vitu vyenye madini yenye mlipuko, 
kwa hapa nyumbani Tanzania mafunz hayo 
yalianza rasmi katika chuo cha Skoine, Morogoro
Hapa anapata zawadi kutokana na kufanya
 vizuri katika mafunzo yake


SOURCE DW


   



Tuesday, April 2, 2013

BARACK HUSSEIN OBAMA ATEMBA KWA MIGUU PAMOJA NA FAMILIA AKE WAKIELEKEA KANISANI

Hivi ndivyo Barack Obama, Prezdaa wa USA alivyofanya 
Jumapili,  aliamua kutembea na familia yake kwa 
miguu kutoka (Ikulu) White House iliyopo
 Pennsylvania Ave. kwenda kanisa la St. John’s Episcopal 
liliopo Washington DC ambapo walihudhuria 
ibada ya PASAKA.




STORI NA PICHA KWA HISANI YA SAMMISAGO.COM

MAREKANI KUFUATILIA KESI YA VIONGOZI WATEUL KENYA

Habari kutoka Idhaa ya kiswahili ya DW imeripoti ya
 kwamba Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imesema 
Marekani itafuatilia kwa makini hatua za viongozi
 wateule wa Kenya katika kukidhi matakwa ya mahakama
 ya uhalifu ya kimataifa -ICC- kutokana na tuhuma zinazowakabili.
Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari msemaji wa 
wizara hiyo Hilary Renner amesema watashiriki ipasavyo katika
 kulifuatilia suala hilo.

SOURCE DW IDHAA YA KISWAHILI

PICHA MBALI MBALI KUTOKA FACEBOOK

Kula kiapo sio bungeni tu 
Basi kama hili linafaa sana hapa
Dar es Salaam
hususani
katika msimu huu wa mvua
Mario Baloteli akiwa amelala
katika sehemu
ya kuhifadhia mabegi katika treni



KAMA ULIKOSA KULICHEKI GOLI LA DE MBABA LICHEKI HAPA


GUCCI MANE - NOTHING ON YA (Feat. Wiz Khalifa) [Official Music Video]

HIKI NDICHO JACK WOLPER ALICHOMTUMIA MILLARD