contact

husen

Tuesday, April 2, 2013

MAREKANI KUFUATILIA KESI YA VIONGOZI WATEUL KENYA

Habari kutoka Idhaa ya kiswahili ya DW imeripoti ya
 kwamba Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imesema 
Marekani itafuatilia kwa makini hatua za viongozi
 wateule wa Kenya katika kukidhi matakwa ya mahakama
 ya uhalifu ya kimataifa -ICC- kutokana na tuhuma zinazowakabili.
Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari msemaji wa 
wizara hiyo Hilary Renner amesema watashiriki ipasavyo katika
 kulifuatilia suala hilo.

SOURCE DW IDHAA YA KISWAHILI

No comments:

Post a Comment