contact

husen

Friday, April 5, 2013

HAWA NDIO PANYA WANAOPEWA MAFUNZO YA KUGUNDUA MABOMU YALIYOTEGWA ARDHINI HUKO MOROGORO

Shirika moja lisilo la kisrikali la huko
 Ubelgiji APOPO
 limeanza kuwfundisha panya namna ya
 kutambua mabomu
 katika ardhi, panya hao wanafanyiwa
 majaribio mkoani
 Morogoro hapa Tanzaania



Panya hao ni wakubwa kuliko panya wa kawaida na 
walianza kupewa mafunzo hayo tangu mwaka 2000 
kwa kunusishwa vitu vyenye madini yenye mlipuko, 
kwa hapa nyumbani Tanzania mafunz hayo 
yalianza rasmi katika chuo cha Skoine, Morogoro
Hapa anapata zawadi kutokana na kufanya
 vizuri katika mafunzo yake


SOURCE DW


   



No comments:

Post a Comment