contact

husen

Friday, June 29, 2012

LAURYN HILL KUANZA KUTUMIKIA KIFUNGO CHA MIAKA 3 MWEZI NOVEMBER


Kwenye Mahakama moja ya New Jersey siku ya ana 
ijumaa ndio kesi ya Lauryn Hill iliendelea kusikilizwa
  ambapo staa huyu wa muziki yuko kwenye hatari
 ya kwenda jela kwa miaka mitatu kutokana na
 kukwepa kulipa kodi ya dola za kimarekani milioni
 1.8 kati ya 2005 and 2007, ambapo atatakiwa
 kuanza kutumikia kifungo chake November mwaka huu.
According to AP ni kwamba Staa huyu amekutwa 
na hatia baada ya kukiri kwamba alishindwa kulipa
 kodi kitu ambacho ni kosa la kisheria, ilikua
 aanze kutumikia kifungo October lakini
 amesogezewa mpaka November ili apate time ya 
kulipa hizo pesa imsaidie kukwepa kwenda jela.

No comments:

Post a Comment