contact

husen

Friday, June 29, 2012

MTOTO WA BEYONCE KUONEKANA HADHARANI SIKU YA TUZO ZA BET


Exclusive infoz ambazo zimepatikana ni kwamba Beyonce 
 atahudhuria katika awards za BET mwaka huu akiwa
 na binti yake BLUE IVY na itakuwa ndio mara ya 
kwanza kwa motto wake huyo kuonekana hadharani
 katika halaiki. Kwa mujibu wa mfukunyuku aka
 mdaku ambaye amevujisha info hizo anayepatikana 
katika camp ya Beyonce  ni kwamba kutakuwa na
 EXTRA SECURITY kwaajili ya kuhakikisha hakuna 
bugudha yoyote ambayo ataweza kuipata 
 na kutakuwa na walinzi watano ambao 
watamzunguka muda wote




No comments:

Post a Comment