contact

husen

Monday, July 2, 2012

FID Q FT YVONE MWALE - SIHITAJI MARAFIKI official video

Hatimaye video ya ‘Sihitaji Marafiki’ ya Fid Q 
aliomshirikisha mwanadada Yvonne imetoka leo.
 Video imefanywa na kampuni ya 
Showbiz Defined. Na wengi surprise
 kwenye video hii ni pale palipoandikwa 
‘Visualised by Mike T”!
Kwetu sisi hii si video ya kushtusha sana
 lakini tumefurahishwa na mwanzo mzuri 
wa Mike T kama director (kama kweli ni
 yeye ndiye aliyefanya)
Baadhi ya mashairi katika wimbo huu
 uliofanywa na J-Ryder wa
 Tongwe Records ni kama haya:
Kupata washkaji ukiwa na pesa ni rahisi
Kupata na hauna kitu jua umefanikiwa kichizi
Mi sikufichi, sihitaji urafiki na usupastaa
 ukihit ndo unang’aa
Kupishwa kiti kwenye baa, kuwe beat na JR
Siku hizi mabinti wanaonimiss, 
ndo walionidiss niliposoma nao
Masaa hayarudi nyuma kama muda
 wa kufuturu
Walioukataa utumwa wameshtuka
 hawana uhuru
Wanazusha najisikia,
 so am my own best friend
Naweza nikakata ringi kiasi cha kutopay attention
Lakini sio tajiri wa kuafford kuwa too patient
Sihitaji marafiki labda baadaye akitokea
Aje mmoja wa kuongea naye na
 mmoja wa kumwongelea
Rafiki wa kweli ni yupi, mkimya
 ama anaechonga
Yule aliyekupa jina ama ama 
pengine anayekuponda
 
 
 
STORI KWA HISANI YA LEOTAINMENT

No comments:

Post a Comment