contact

husen

Tuesday, July 24, 2012

MKENYA ALA SHAVU KWA TI


Model wa Kenya aishie Marekani Jared Okeyo
 amekula shavu la kuonekana kwenye reality
show ya T.I  iitwayo T.I & Tiny Show: 
The Family Hustle, inayooneshwa kwenye 
kituo cha VH1.


Pamoja na show hiyo Jared ameonekana pia 
kwenye show nyingine ya Real Housewives of Atlanta 
kupitia Bravo TV.



SOURCE LEOTAINMENT

No comments:

Post a Comment