contact

husen

Wednesday, July 4, 2012

MWANA FA AKERWA NA MAKAMPUNI YA SIMU

Rapper Hamis Mwinjuma aka MwanaFA

 ameelezea kukerwa

 na mtindo uliopo sasa wa makampuni 

ya simu kugeuza 

nyimbo za wasanii kuwa matangazo

 na kuelezea kuwa

 ni ufinyu wa ubunifu.

“Ndugu makampuni ya simu,mashindano ya kubadili

 nyimbo za bongo fleva kuwa matangazo yenu

 yametosha sasa!fanyeni kubuni kitu kipya,ahsanteni!” 

ametweet leo.

MwanaFA siye pekee aliyechukizwa na kitendo hicho 

kilichokithiri kwa makampuni ya simu nchini.

Mtangazaji na mbunifu wa vipindi na masuala mbalimbali

 wa Clouds Fm Cindy naye pia ameonesha kusikitishwa

 na tabia hiyo.

"Salaam kwa kampuni zetu za simu, matangazo bila 

kutumia nyimbo na wasanii wa muziki yanawezekana

 kwa kuajiri ubunifu 'kidogo tu' katika utunzi wenu

 wa matangazo na njia za mawasiliano kwa jamii!!ni

 hayo tu,” aliandika kupitia Facebook.

“Inachosha kila mara kusikia nyimbo zetu zote nzuri 

zimebadilishwa kuwa na ujumbe wa tangazo... Mbaya 

zaidi ni kuona kampuni zinavyoigana kana 

kwamba hiyo ndio namna pekee ya kutangaza 

bidhaa/huduma zao...inanionyesha pia ufinyu wa

 ubunifu wao katika utoaji wa huduma zao!!!”

Aliongeza, “If only zingekuwa ni original production 

and not the renditions of popular songs/artists

 performances...then that would be a step towards

 creativity in all this. Atleast get a vocalist, 

write an original music (creatively) n produce

 AN ORIGINAL musical ad with FRESH melodies...

but NOT get a popular (over played) song, change

 lyrics (lazily uncreative) and produce a rendition 

of the original!! Can u imagine the original being 

on high rotation (played every now n then) plus 

the renditioned advert on probably every half an

 hour...dont know about any of u but I know

 that radio/Tv would lose my listenership.”

Cindy hakuishia hapo ambapo aliendelea kwa 

kusema, “Mental and emotional appeal goes way

 further than just a popular melody...it’s the msg

 thats left behind after the melody stops n another

 commercial comes in before a chain of other

 programming activities. Small research...go

 ask ten ppl who listened to the radio in the 

morning n ask them the msg they got from any

 of the copy music adverts... I did n I know 

what I gushin about!!!”

Miongoni mwa nyimbo za wasanii wa Bongo Flava

 zilizotumiwa kufanya matangazo ya simu ni pamoja 

na Hakunaga wa Sumalee, Nimpende Nani wa Diamond,

 Mgambo wa Juma Nature (Vodacom), 

Bongo Flava wa Dully Sykes (Tigo), 

Dushelele wa Ali Kiba na 

Ndege Mtini wa Ferooz (Airtel).

 

 

 source leotainment


No comments:

Post a Comment