contact

husen

Monday, May 21, 2012

G NAKO AKANUSHA KUKAMATWA NA POLISI

Kufuatia kamanda wa polisi mkoa wa Arusha Thobias Andengenye
 kutangaza majina ya waalifu wanaoshikiliwa
na jeshi la polisi na kuwepo jina Shabani Rajabu maarufu
kama G Nako na hivyo kuwafanya waandishi
 wa habari waliohudhuria katika press hiyo. . .
Young Fujo  alicheki na G Wara Wara ili kukonfirm kama ni yeye
au la ndipo alipofunguka na kusema kwamba yeye ni
George hivyo huyo jamaa kaamua tu kujiita
G Nako. Pia G Nako aliongeza kuwa yuko njiani
kuelekea studio kufanya ngoma
yake mpya...

No comments:

Post a Comment