Kazi
ya kushoot video ya Ambwene Yesaya aka AY iliyofanyika jijini
Johannesburg,
Afrika Kusini imemalizika salama jana.
AY
aliambatana na producer wa wimbo huo uliokuwa ukifanyiwa video,
Marco
Chali wa Mj Records.
Video
hiyo ambayo kwa mujibu wa AY imegharimu $20,000 ambazo ni
zaidi
ya shilingi milioni 30 za Tanzania, imeongozwa na director wa
Nigeria
anayeishi nchini Afrika Kusini Mike
Wakati
wa shooting hiyo wanamuziki mapacha wa kundi la P-Square,
Peter
na Paul Okoye walikuwepo japo haijulikani kama wataonekana
kwenye
video ya AY kwakuwa nao walikuwa wakifanya video yao na
kampuni
hiyo.
Baada
ya kukamilisha shughuli hiyo AY alitweet,” I_Am_Godfather are
very
professional,great team EVER,we gonna shoot more videos with
them.”
“Had
a great shoot with Tanzanian hottest artist, @AyTanzania! #its a
wrap!
Good working with you sir!” aliandika mmoja wa watu
waliohusika
kushoot video hiyo.
|
No comments:
Post a Comment