Ni
mtoto wa kwanza kwenye familia yao ya
watoto wanne na pia ni baba wa mtoto
mmoja wa kike aitwaye Tracy.
Akiwa
na umri mdogo kabisa Octopizzo
alifunzwa na maisha magumu ya Kibera lakini
kuvutiwa kimuziki na wasanii kama Chino XL,
Big L, KRS, Diabolic, EPMD,
Copyright,
CL Smooth, Immortal
Technik, na Supernatural.
Ameshinda
mashindano kibao ya freestyle
nchini Kenya,
kama G Pange Hip Hop Challenge
, Hip
Hop Halisi Freestyle Challenge,
na Usanii Kona Hip Hop Challenge.
Octopizzo
ameshapanda kwenye stage
moja na wasanii wa kimataifa kama
Dead Prezz (U.S.A.),
Black Twang (U.K.), DJ Trouble Maker (U.S.A.),
Bunt Face (U.S.A./Ethiopia),
Malikah (Lebanon), Le Melanina (Colombia),
Mad Maxamon (Germany),
Restley Perez
(Philippines),
na Anne Khan (Germany). Na pia
ameshaperform na wasanii wa Kenya
wakiwemo Jua Cali, Nonini, P Unit,
Wahu, Wyre, Jaguar, Jimmy Gait,
Ukoo Flani,
Point Blank,
Mwafrika na Ness.
Mpaka
sasa amesharekodu mixtape tatu,
S.O.N. (Stragglers of Nairobi), Y.G.B.
(Young
Gifted and Black),
na The White Shadow.
Mwkaa 2008 S.O.N. ilikuwa mixtape
iliyouza
zaidi katika historia ya
hip hop ya Kenya.
Kwa
uwezo wake, Octopizzo ana mustakali
wa nguvu kwenye hip hop ya Kenya na
Afrika
Mashariki kwa ujumla. Anawaacha
na fundisho vijana wanaopenda
kufanya hip hop
na kufanikiwa kama yeye,
kuwa wanapaswa kufikiria zaidi ya kutoa
ngoma na
kupeleka radio.
Wana uwezo
wa kufikiria miradi ya kufanya na kuisaidia
jamii
wanayoishi kwa kujituma kuiletelea
maendeleo na kuiweka kwenye
ramani kwa
kuitangaza kimuziki.
Source leotainment
|
No comments:
Post a Comment