Baada ya mmoja wa waanzilishi
wa mtandao wa kijamii
wa facebook Chris Hughes kufunga ndoa ya jinsia
moja na mpenzi wake wa muda mrefu bwana
Sean Eldridge jumamosi iliyopita
huko New York City,
USA last Saturday, the social networking website
chose to symbolically introdMtandso huo umeamua
kuongeza kitufe
kitakacho ashiria ndoa za jinsia
moja kwenye relationship status za
mtandao huo.
Kwa kawaida ilikua mtu akioa
kwenye page yake ya
facebook anaruhusiwa kubadilisha status ambapo
kitufe cha facebook huwa kinaonyesha mwanaume
na mwanamke lakini kwa
sasa inaweza kuwa
mwanaume kwa mwanaume au mwanaume
kwa mwanamke.
Mabadiliko haya sio mapya
kwenye mtandao wa
facebook katika harakati za kwenda na wakati
kwani
2011 facebook iliongeza kitufe cha kuonyesha
kwamba ndoa imefungwa
mahakamani hatua
ambayo ilionekana kuunga mkono ndoa za
kimahakama za
watu wa jinsia moja.
Pamoja na hilo facebook imekua
inatoa support
kwa asasi zisizo za kiserekali ambazo zimekua
zikiweka
kipaumbele kwenye kutetea haki
za mashoga na wasagaji.
source millardayo
No comments:
Post a Comment