contact

husen

Friday, August 17, 2012

LAKHADR ATEULIWA KURITHI MIKOBA YA KOFFI ANANN


                          Mwanadiplomasia Lakhdar Brahimi kutokaAlgeria ameteuliwa kuwa

mrithi wa mikoba ya Koffi Annan katika mchakato wa kutatua

migogoro huko Syria ambaye alijiuzulu. Jina lake limetangazwa

na Eduardo Del Buey kwa niaba ya U.N. Secretary-General Ban Ki-moon,

mapema jana.Hapo awali Lakhadar alikuwa muwakilishi maalumu wa

U.N huko Iraq pamoja na Afganstan

 

“ wakati wa kupatikana kwa amani na ufumbuzi wa migogoro ya huko

Syria Umefika kwani lengo kubwa la U.N kwa sasa ni kutatua mgogoro

huo likisaidiwa na Mataifa yenye nguvu duniani kama Marekani na tayari

U.S. Secretary of State Hillary Clinton ameshamtumia ujumbe wa

kumkaribisha” amesema Erduado.

 

Licha ya Mr Brahimi kuwa katika jopo la wanadiplomasia wakongwe

duniani pamoja na kuwa Waziri wa mambo ya nje huko Algeria,

 

No comments:

Post a Comment