radhi waislam nchini kwa kutoa takwimu zisizo sahihi
za waislam
na wakristu.
Mkurugenzi mkuu wa shirika hilo Clement
Mshana
amefafanua kupitia kipindi cha Jambo Tanzania leo
asubuhi kwa kukiri kuwa
mmoja wa watangazaji wa
TBC1 alitaja takwimu za wakristu kuwa ni asilimia 52%
na waislam asilimia 32% zilizopatikana kutoka
mtandao wa Wikipedia.
kwakuwa takwimu hizo sio sahihi.
Mshana alikiri kuwa TBC ilifanya kosa
kuunukuu mtandao
wa Wikipedia na kudai kuwa chombo chenye
mamlaka na cha
kuaminika ni Wakala wa Takwimu
nchini na sio
wikipedia.
Mkurugenzi huyo amesema tarehe 15, May,
2012 shirika
hilo liliandika barua ya kuomba radhi kwa jumuiya ya
waislamu
nchini na kumpa onyo mtangazaji aliyetaja
takwimu hizo.
takwimu hizo.
Ametaka waislam kusahau yaliyopita na
kuutumia
mwezi huu wa Ramadhan kusamehe huku akiwataka
wananchi kujitokeza zaidi
kwenye zoezi la sensa
litakalosaidia kupatikana kwa takwimu sahihi.
No comments:
Post a Comment