contact

husen

Saturday, June 23, 2012

CASPER AZIMIKA NA MKWANJA WA J LO NA SIO J LO MWENYEWE


Inasemekana ya kwamba Boyfriend wa Jennifer Lopez, Casper
 anajifanya ya kuwa anampenda sana bi mkubwa huyo ambaye
 seriously japo kuwa ana umri mkubwa lakini bado anaonekana 
motto mlitle kama wasemavyo watoto wa mjini. Casper 
yuko kwa J Lo kwaajili ya mkwanja na sio love ya kweli
 hata kidogo. Na pia inasemekana kuwa jamaa ni shoga

No comments:

Post a Comment