contact

husen

Wednesday, June 27, 2012

ELIZABETH GUPTA ATOKELEZEA NDANI YA THE CARTEL

Elizabeth Gupta-pam wengi tunamfahamu kupitia shindano la
 Big Brother baadae akaolewa na mshiriki
 mwenzake kutoka Nigeria. 
Kwa hivi sasa Elizabeth anacheza katika movie mpya
 inayokwenda kwa jina la 
THE CARTEL
 ambayo imewashirikisha
 wasanii mbalimbali kutoka
 Naija, Ghana, South Africa na  
Tanzania ambaye yeye Elizabeth ndio anatuwakilisha.
 Na nimeambiwa wasanii wenye majina makubwa 
waliocheza ni pamoja na Mike Ezuruonye, Martha,
 John Njamah na Luclay 
ambaye alikuwa BBA.

Movie hiyo ya The Cartel imechezwa nchini Naija (Nigeria)
 sehemu moja inayoitwa Portharcout.




 

source dj choka


No comments:

Post a Comment