contact

husen

Friday, June 29, 2012

MARY J. BLIGE AJUTIA KUTOKELEZEA KATIKA TANGAZO LA BURGER KING

Mary J. Blige amesababisha mabishano mara baada ya 
kutokelezea katika tangazo la Burger King kwani kile
 kinachoonekana katika tangazo hilo kinaashiria ubaguzi
 wa rangi. MJB ameamua kuvunja ukimya ndani ya
97's The Angie Martinez Show 
MJB amesema ya kwamba hadhani kama kuna haja ya 
yeye kusema chochote kwasababu kila mtu alikuwa
 akimzungumzia vibaya na kiukweli alihisi
 kuchanganyikiwa kwani kwa mtazamo wake 
alidhani ya kwamba ingekuwa ni nafasi nzuri ya 
kupata nafasi ya kupata branding opportunity na
 kuongeza ya kuwa kila mara anapoingia kaika mtandao 
kusikiliza remix ambayo ameifanya na Fat Joe anajaribu
 kufikiria kinachomjia akilini ni Burger King,
 chicken na buffoonery, na kiukweli kinazidi 
kumuumiza moyoni
Hadi sasa tayari nimeshaelewa ni kwanini watu
 wamekasirika mara baada ya kuona tangazo 
hilondio maana walikuwa wakitoa comment mbaya

"I understood the laughter and the jokes and the stuff 
that was happening you're supposed to do that when
 something like that happens but the thing that hurt me 
is when people were starting to say vicious,
 negative things that didn't have anything
 to do with that," she continued. "It

"It was a mistake and I did it because 
I thought it was something that wouldn't 
come out like that. No one had mercy, and it's cool,
 it was a learning experience. It hurt my feelings,
 it crushed me for two days, but after those two days,
 I got up and I kept going. I want to apologize
 to everyone that was offended or thought I would 
do something so disrespectful to our culture. 
I would never do anything like that purposely."

No comments:

Post a Comment