contact

husen

Monday, July 2, 2012

JUSTINBIEBER AKAKAMUA NYIMBO ZA WATU

Umaarufu wa Justin Bieber ulianza kwa kuimba nyimbo za
 wasanii wakubwa na kuweka video kwenye  YouTube.
 Na kwa sasa Bieber akiwa miongoni 
\mwa wasanii wakubwa 
kwenye sayari ya dunia, inaonekana bado anapenda
 kuimba nyimbo za mentor wake Usher japo siku hizi
 sio yeye anayeziweka video hizo
 kwenye Youtube bali ni watu wengine.

SOURCE LEOTAINMENT

No comments:

Post a Comment