contact

husen

Thursday, August 30, 2012

BROKEN ENGLISH KATIKA BARUA YA SERIKALI

Lugha ya Kiingereza kwa watanzania wengi ni mtihani
mkubwa. Hii ni kutokana na mfumo wa elimu wa
 nchini yetu ambao humfanya mwanafunzi asiweze,
 kuandika, kuelewa na kukiongea Kiingereza vizuri.
Tatizo hili linasababisha mpaka baadhi ya watumishi
 wa serikali nchini kupata shida kuandika barua
 ama maelezo kwa lugha hii.

Hii ni barua iliyoandikwa na mwenyekiti wa mtaa
 wa Oysterbay jijini Dar es Salaam kwa wakazi wa
mtaa huo kuhusu kushiriki kwenye zoezi
linaloendelea la sensa.

To all The Residence and Renter at Apartment, Hotel and Others

REF: CENSER COUNTING PEOPLE 26 AUGUST 2012

Refer the above mentioned subject,

Remember the Government of Republic Union of
Tanzania announce on 26.08.2012 is the day of
  counting people (censer) for all living visitors in
Tanzania. This is legal order for Beural Statistics
 No: 1 of 2002.

Because for this day any people who sleep at your
 House, hotel or residence apartment on 26.08.2012
 he or she must be accountable in this censer.
 Also people must answer this question from the censer officer.

ORDER

If you refuse to be countable or stop censer
 officer to do the job of counting people from
 26.08.2012 and 7 days more its criminal case,
 then you will be charged in the court and fine
with sentenced in prison for six month. Then
please give all assistance censer officer what
 he or she need.

Thanks in advance.

Swali ni Je! Kwanini asingeandika kwa Kiswahili tu?
 
stori kwa hisani ya leotainment

No comments:

Post a Comment