contact

husen

Saturday, September 8, 2012

DANIEL AKUFFOR ANENA

.
Baada ya kuanguka na kuzimia kwenye mechi na Sofapaka
ya Kenya juzi september 6 2012, mchezaji wa Simba
 Daniel Akuffor amesema kwa sasa anaendelea vizuri na
 ataendelea kuwa fit kadri siku zinavyosogea.
Akuffor amesema “sijui nini kilitokea kwa sababu hii ni mara
yangu ya kwanza kwenye maisha yangu miaka 12 kwenye soka
 sijawahi kupatwa na kitu kama hiki, niko poa na niko
 tayari kwa game ijayo ya ngao ya jamii na ushindi utapatikana”
Kwenye line ya mwisho Akuffor amewaambia fans wa Simba
kwamba wasiwe na wasiwasi na hadhani kama kilichotokea
kwenye mechi ya Simba na Sofapaka kitajirudia.

No comments:

Post a Comment