RAIS SHEIN AKUTANA NA WAZIRI WA UINGEREZA MARK SIMMOBDS ANAYESHUGHULIKIA MASUALA YA AFRIKA
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akisalimiana na Waziri wa Uingereza anayeshuhulikia masuala ya
Afrika Bw.Mark Simmonds,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar,leo
asubuhi.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.}
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akizungumza na Waziri wa Uingereza anayeshuhulikia masuala ya
Afrika Bw.Mark Simmonds,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.}
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifuatana na Waziri wa Uingereza
anayeshuhulikia masuala ya Afrika Bw.Mark Simmonds,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar,baada ya mazungumzo yao leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.}
No comments:
Post a Comment