Msanii 50 Cent ameungana na wanamuziki
Jay Z na Will Smith kumuunga mkono
Raisi wa Marekani Barak Obama
kuhusu ndoa za jinsia moja50 Cent
amesema kila
mtu anatakiwa kuwa
na furaha maishani mwake.
Ameongeza na kusema kuwa yeyote
yule ambaye anapinga ndoa
za jinsia moja ni mpumbavu50
cent alipoulizwa kama nay
eye ni
mmoja kati ya wale wanaojihusisha
na mahusiano ya jinsia moja alikanusha
na kudai ya kwamba la msingi ni kila
mtu kuishi na kufanya kile atakacho.
50anatarajia
kuachia mixtape yake
iitwayo The Lost Tape, na anatarajia
kuiachia may Msanii mwingine ambaye
anaunga mkono ndoa za jinsia
moja ni rapa T.I
na alidhihirisha hilo
katika interview aliyoifanya na kituo
cha radio cha New
York City’s Hot 97
morning showsiku ya jumatano
ya tarehe 16 may
No comments:
Post a Comment