Teknolojia ya mashine
kutoa ishara pale ambapo mpira unakuwa
umevuka mstari wa goli kuanza kutumika
kwa majaribio
Wembly june 2 ambapo England itakipiga na Belgium
katika mchezo
wa kirafiki.
Katika mfumom huo
kutakuwepo na camera 6 katika kila goli.
Mpira utakapovuka mstari kifaa kimoja
ambacho kimeunganishwa
na camera hizo kitatoa ishara kwa refarii kumtaarifu
kuwa ni goli.
Teknolojia hii imekuja mara baada ya utata
ambao umekuwa
ukijitokea pale magoli yanapokataliwa.
Mfano ni goli la Juan Mata katika mchezo
uliopigwa
15 April ambapo Chelsea walishinda kwa jumla
ya magoli 5 kwa 1 dhidi
ya Tottenham
|
No comments:
Post a Comment