Rapper Hamis Mwinjuma aka
MwanaFA
ameelezea kukerwa
na mtindo uliopo
sasa wa makampuni
ya simu kugeuza
nyimbo za wasanii kuwa matangazo
na kuelezea kuwa
ni ufinyu wa
ubunifu.
“Ndugu makampuni ya
simu,mashindano ya kubadili
nyimbo za bongo
fleva kuwa matangazo yenu
yametosha
sasa!fanyeni kubuni kitu kipya,ahsanteni!”
ametweet leo.
MwanaFA siye pekee
aliyechukizwa na kitendo hicho
kilichokithiri kwa
makampuni ya simu nchini.
Mtangazaji na mbunifu wa
vipindi na masuala mbalimbali
wa Clouds Fm Cindy
naye pia ameonesha kusikitishwa
na tabia hiyo.
"Salaam kwa kampuni
zetu za simu, matangazo bila
kutumia nyimbo na wasanii
wa muziki yanawezekana
kwa kuajiri ubunifu
'kidogo tu' katika utunzi wenu
wa matangazo na njia
za mawasiliano kwa jamii!!ni
hayo tu,” aliandika
kupitia Facebook.
“Inachosha kila mara
kusikia nyimbo zetu zote nzuri
zimebadilishwa kuwa na
ujumbe wa tangazo... Mbaya
zaidi ni kuona kampuni
zinavyoigana kana
kwamba hiyo ndio namna
pekee ya kutangaza
bidhaa/huduma
zao...inanionyesha pia ufinyu wa
ubunifu wao katika
utoaji wa huduma zao!!!”
Aliongeza, “If only
zingekuwa ni original production
and not the renditions of
popular songs/artists
performances...then
that would be a step towards
creativity in all
this. Atleast get a vocalist,
write an original music
(creatively) n produce
AN ORIGINAL musical
ad with FRESH melodies...
but NOT get a popular
(over played) song, change
lyrics (lazily
uncreative) and produce a rendition
of the original!! Can u
imagine the original being
on high rotation (played
every now n then) plus
the renditioned advert on
probably every half an
hour...dont know
about any of u but I know
that radio/Tv would
lose my listenership.”
Cindy hakuishia hapo
ambapo aliendelea kwa
kusema, “Mental and
emotional appeal goes way
further than just a
popular melody...it’s the msg
thats left behind
after the melody stops n another
commercial comes in
before a chain of other
programming
activities. Small research...go
ask ten ppl who
listened to the radio in the
morning n ask them the msg
they got from any
of the copy music
adverts... I did n I know
what I gushin about!!!”
Miongoni mwa nyimbo za
wasanii wa Bongo Flava
zilizotumiwa kufanya
matangazo ya simu ni pamoja
na Hakunaga wa Sumalee,
Nimpende Nani wa Diamond,
Mgambo wa Juma
Nature (Vodacom),
Bongo Flava wa Dully Sykes
(Tigo),
Dushelele wa Ali Kiba
na
Ndege Mtini wa Ferooz
(Airtel).
source leotainment
|
No comments:
Post a Comment