contact

husen

Tuesday, August 28, 2012

OPRAH WINFREY AONGOZA KWA KULIPWA DAU REFU DUNIANI


Malkia wa Talk Shows, Oprah Winfrey ametajwa kwenye
jarida la Forbes kwa mwaka wa nne mfululizo kama staa
 anayelipwa pesa nyingi zaidi duniani.

List nzima ya nyota 10 wanaolipwa zaidi kwa
mujibu wa Forbes ni hii:

Forbes Top 10 Highest Paid Celebrities 2012

1. Oprah Winfrey, $165 million

2. Michael Bay, $160 million

3. Steven Spielberg, $130 million

4. Jerry Bruckheimer, $115 million

5. Dr Dre, $110 million

6. Tyler Perry, $105 million

7. Howard Stern, $95 million

8. James Patterson, $94 million

9. George Lucas, $90 million

10. Simon Cowell, $90 million

No comments:

Post a Comment