Msanni
Prezzo wa Kenya atakuwa amepata sample ya majibu ya baadhi ya fans wake
ambao wengi ni wakenya baada ya kumdiss Diamond Platinumz wa Tanzania
kupitia akaunti yake ya twitter July 10.
Sample ya
majibu hayo inaweza kuonekana kupitia comments zote za fans kwenye
habari iliyowekwa na mtandao wa ghafla wa nchini Kenya, ambapo asilimia
99 wameonesha kutokubaliana na alichokifanya.
Edwin Mwashegwa : ah, Diamond achana na huyu mbulula, wewe unda hela!, bifu hazifai.
Top Commenter:
Prezzo umepita hiyo age ya beef za kishenzi. Ingia studio utoe kitu,
otherwise kwa musiki diamond ako juu. I feel you bro! anything to remain
relevant and grab some headlines.
Bellah Ongachi :
aaarggh Diamond is waaayy better.. n am sure by the time he hits the
years prezzo has stayed in the entertainment scene he'll be miles
ahead..so your thing diamond.
Caroline Karijo :
Mhhhhh who even listens to to him Jaguar and Diamond r much better than
him n we all knw,,,,,,, he can continue playing women who stoops low
for him.
Yvonne De Cole :
Prezzo ni wivu nini,,,, leave the highest paid musician in East Africa
alone,,, ana mulla en he is still simple doesn floss,,,, prezzo inherits
yet flosses
De Sheriff : Diamond, silence is the best weapon. let the baby throw tantrums. Prezzo, its tym to mature up.
Diamond hadi sasa bado hajazungumza chochote.
LeoT
No comments:
Post a Comment