contact

husen

Tuesday, May 29, 2012

MARY J BLIGE ADAIWA $250,000


The RnB and pop singer mwana Dada  Mary J. Blige pamoja na Steve 
Stoute Foundation  ambayo inahusika zaidi na maendeleo ya
 wanawake maji ya shingo ymewafika.
Inadaiwa kuwa Mary J kupitia foundation hiyo walikopa kiasi
 cha Dolla za kimarekani $250,000  katika Bank TD mwezi June
 mwaka 2011 kwa lengo la kuendesha mradi huo na walikubaliana
 kurudisha mkopo huo wa Bank itakapofika.  December 2011 ila
 haikuwa hivyo badala yake waliipa kiasi cha Dolla $368.33 tu.
Na badala yake benki hiyo iliamua kuwapelekea barua iliyowafahamisha
 tarehe ya mwisho ya kulipa deni hili kabla ya kulifikisha swala
 hili kwenye vyombo vya Dolla ambayo ilikuwa ni tarehe 7 mpaka 29
 mwezi February lakini waliamua kupuuzia swala hili. Na badala yake
 benki hiyo imeamua kuwashtaki kwa kulipeleka swala
 hili mahakamani

No comments:

Post a Comment