contact

husen

Thursday, May 31, 2012

TI KUTOKA NA NEW JOINT


Septemba tarehe 4 ndo mwezi amabao album ya mkali wa ngoma

 “ Live Your Life” ft. Mwanadada  Rihanna na

 album yake ambayo inasubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa Hip Hop

 duniani inayoitwa “Trouble Man” ambayo ni album yake ya nane. Akipiga

 stories na Shade45’s DJ Whoo Kid, T.I kabla alisema kuna ngoma ambayo 

amefanya na wakali wawili wakali katika game Andre 3000 na Kanye West.

 Akaongeza kabla haijaisha kuna wasanii wengine wakubwa ambao anategemea

 kuwashirikisha ni pamoja na Katy Perry, Bruno Mars na Santigold atafanya

 mpango awe ameshafanya nao mpaka ikikaribia tarehe ya kuachia

 album ya “Trouble Man” awe ameshamalizakugonga nao kazi.


No comments:

Post a Comment