contact

husen

Tuesday, August 21, 2012

ANDRE SANTOS MATATANI KWA KUENDESHA GARI SPIDI



Mchezaji wa Arsenal Mbrazil Andre Santos alijikuta
 matatani hapo jana kwa kukamatwa na polisi
mara kuendeshs gari kwa spidi kali na kuwakimbia
polisi kwa speed 130mph pamoja na kuendeshs wa
huko Uingereza kwa muda mrefu hatimaye Santos
 alikamatwa karibu na uwanja wa Emarates gari
 lake aina ya Maserati GranTurismo supercar
 lenye thamani ya £110,000  vibaya.

Hata hivyo mara baada ya kukimbizwa na polisi kwa
 muda hatimaye alikamatwa karibu na uwanja wa
Emirates ambao hutumiwa na Arsenal kama
uwanja wa nyumbani

No comments:

Post a Comment