contact

husen

Wednesday, August 29, 2012

ROBERTO MANCINI AELEKEZA NGUVU KUMNYAKA THEO WALCOT

City want £12m Gunner Walcott

Bosi wa Man city Roberto Mancini aelekeza nguvu zake
kumsajili mshambuliaji wa Arsenal Theo Walcot kwa kitita
cha paund milion 12mara
baada ya juhudi zake za kutaka kumnasa Scott Sinclair
 kushindikana.
         Walcot ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 23
 amebakiza mkataba wa mwaka mmoja na kumekuwa
 na tetesi ya kuwa huenda akajiunga na majogoo
 wa London Liverpool.
 

No comments:

Post a Comment