contact

husen

Monday, August 20, 2012

TONNY SCOTT AFARIKI DUNIA

British blockbuster film director Tony Scott amefariki dunia
 mara baada ya kujirusha toka katika daraja moja lililopo
Los Angeles. Tony Scot mwenye umri wa miaka 68 ni
 mzaliwa wa North Shields. Umaarufu wake huko
 hollwood umetokana na kudirect movi kali kama
Gun, Days Of Thunder, and Beverley Hills Cop II.
Taarifa za awali ambazo zimetolewa zinaeleza ya
 kuwa gari la Tony aina ya Toyota Pirus lilikutwa likiwa
limepaki karibu na eneo hilo

No comments:

Post a Comment