contact

husen

Wednesday, September 5, 2012

TID APEWA MAKAVU FACEBOOK


Top in Dar, TID leo amejikuta akizunguana
vibaya na shabiki wake wa kike kwenye Facebook.
Picha lilianza baada ya TID kuandika status
 inayosema, “Am tha Guy who did tha song
KIUNO which is currently the No.1 song in the
 Country I only do Killer tracks that kill
people but I don't kill people..........”
Status hiyo ilimkera msichana aitwaye Happiness
‘Cutegal’ Ignas ambaye aliamua kumpa live TID.
“But stop being arrogant! U luk like a fool b4 pipo!
 We love ur music bt too rude thus y u NEVER
 get further! Kama unamfwatilia hata interview
TID is rude n too emotional.”
“Don’t get upset she is jus a loozer am the
 winner keep me posted mnyama mkali, “alijibu TID.
“She doesn't knw me @all she wants to be
 famous don't worry am not allow them to
 reach this far,let me block the groupy!”
Majibu ya TID yalimpandisha morali Happiness
 aliyeamua kufunguka zaidi.

Happiness
“hehehe!! Whatever u talk! Ur a fuck a mean!!
 A fool callin himself a winner!! Wonders shld
  neva end! Whaat! Want to be famous??
Hahaha see how zero brain ur! Dnt b twisted
hia! It was just a piece of advice, or watever
 u cal urself! Watch ur smelln mouth!!
 Nonsense of highest degree."
Aliendelea kufunguka zaidi, “tatizo sio humanity error,
 TID anajua kuimba, anajua kucheza, anajua kuvaa
 lakini hajui ku create gud image, hapendi
 ushauri, 2sipomwambia sisi atamwambia nani?
TID angetakiwa kuwa mbali sasa, sio kuwa
 dominant, y ameanza mziki long bt he stil
da xme! Y?? Aache kujisikia bwana.

Ulishamwona T.ID anafanya interview?? As if
 anaimbia na cash money, as if he has gained!!
 Unajua kuna mtu waweza mtazama ukamhesabu
 kwenye mazuri bt kumbe sivyo, TID z arrogant,
 rude n mean!!!”

Mpaka tunaenda mitamboni TID hakujibu tena! Lol…..
 
stori kwa hisani ya leotainment

No comments:

Post a Comment