Pamoja na tiketi za bei chini kabisa kuuzwa
kwa EURO 2000
ambayo ni
zaidi ya shilingimilioni 4 za kitanzania tena
ukiwa
unakaa kwenye siti
za nyuma ya goli, leo hii mamlaka ya jiji la
Munich
wameufungua uwanja
wa Olympia Stadium uliokuwa ukitumiwa na
Bayern Munich kabla
ya kuhamia Allianz Arena, kwa ajili ya
matumizi ya
kuonyeshea mpira wa
leo katika uwanja huo. Bayern wana tataizo la
defense,kwani katika mchezo
wao wa leo wanawakosa mabeki wao muhimu
David Alaba,
Holger Badstuber
and Luiz Gustavo lakini hata hivyo
Chelsea nao
watawakosa
wachezaji wao muhimu kama John Terry,
Ramirez na
Meireles pamoja na Branislav Ivanovic
|
|
No comments:
Post a Comment