Mwenyekiti wa wa Yanga Lloyd
Nchunga amefuta mkutano
wake na wazee wa klabu hiyo aliopupanga kuufanya
kesho.
Nchunga
amesema kwamba ameaamua kuufuta
mkutano huyo kutokana na baadhi ya
wanachama
kutoa taarifa za kupotosha, hivyo ameawata
wanachama kusubiri hadi
julai 15 ambapo
utafanyika mkutano mkuu wa wanachama.
Amesema
amefanya hivyo ili watu wasijepotoshwa
kuwa
ameimeitisha mkutano kinyume na katiba...
amesema kwamba sababu nyingine
ya
kuahirisha mkutano huo inatokana na barua
waliyopatiwa na aliyekuwa
mfadhili mkuu,
Yusuf Manji ambapo jumatatu kamati ya
utendaji inatarajiwa
kukutana kwa ajili ya kujadili.
|
|
No comments:
Post a Comment