Mubarak
alimuoa mwanamke mwenye asili ya kiingereza
Suzane Mubarak na kufanikiwa kupata
watoto wawili
ambao ni Gamal na Alaa,
Mubarak alifahamika kwa utendaji wake
wa nguvu na ukakamavu
kwani ratiba yake ilikuwa ikianza saa kumi na mbili
asubuhi kila
siku, Hakuwa akinywa pombe wala kuvuta sigara badala yake
kwenye ujana wake alikuw akijihusisha na gym na
kucheza mchezo wa squash.
Madaraka
Muhhamad Hosni Sayyid Mubarak aliapa
rasmi 14/10/1981
siku nane baada ya mauji ya aliyekuwa rais wa nnchi hiyo
Anwar
Saadat huku akiwa ni rais wa nne wa nnchi hiyo na katika
kipindi chote
alichokuwa madarakani aliliweka taifa hilo chini ya
udharura (state of
ermegence) na Hakusita kuwanyamazisha
wapinzani wake kisiasa na hata
kuwafunga.Mubarak alikuwa
alipoingia tu madarakani aliiingiza nnchi hiyo katika
utawala wa
kijeshi.Toka 1981 alipoingia madarakani alishinda chaguzi tatu
zisizo na upinzani na baada ya kupewa shinikizo mwaka 2005
alibadilisha
mfumo na kuruhusu wapinzani huku yeye na chama
chake cha NDP wakionekana
dhahiri kupendelewa na
kukandamiza upinzani hsa chama cha MUSLIM BROTHERHOOD
Mubarak alikuwa mmoja kati ya viongozi waliotwala muda
mrefu zaidi duniani na
pia amekuwa kiongozi wa kwanza kutoka
nnchi zilizokumbwa na vugvugu za kisiasa
kuhukumiwa mahakamani.
|
No comments:
Post a Comment