contact

husen

Friday, April 5, 2013

PICHA 4 ZA JAY Z PAMOJA NA BEYONCE WAKISHEREKEA MIAKA 5 YA NDOA YAO HUKO CUBA







Jay-Z & Beyonce Head To Havana, Cuba For Their 5th Anniversary


EX GIRLFRIEND WA CHRIS BROWN KARRUECHE SASA ANATKA NA STAR WA NBA


NBA baller John Wall is now dating Chris Brown's EX Karrueche. 
The two have been SEEING each other recently (and sub-tweeting each other).
But now, we're told, that it's official. Karrueche got herself a new
 BALLER. Oh, and John Wall ain't just ANY OLD PLAYER. 
He's up for contract this year and is expected to get the
 HIGHEST CONTRACT ALLOWABLE under NBA rules.

STORI KWA HISANI YA MEDIATAKEOUT

HAWA NDIO PANYA WANAOPEWA MAFUNZO YA KUGUNDUA MABOMU YALIYOTEGWA ARDHINI HUKO MOROGORO

Shirika moja lisilo la kisrikali la huko
 Ubelgiji APOPO
 limeanza kuwfundisha panya namna ya
 kutambua mabomu
 katika ardhi, panya hao wanafanyiwa
 majaribio mkoani
 Morogoro hapa Tanzaania



Panya hao ni wakubwa kuliko panya wa kawaida na 
walianza kupewa mafunzo hayo tangu mwaka 2000 
kwa kunusishwa vitu vyenye madini yenye mlipuko, 
kwa hapa nyumbani Tanzania mafunz hayo 
yalianza rasmi katika chuo cha Skoine, Morogoro
Hapa anapata zawadi kutokana na kufanya
 vizuri katika mafunzo yake


SOURCE DW


   



Tuesday, April 2, 2013

BARACK HUSSEIN OBAMA ATEMBA KWA MIGUU PAMOJA NA FAMILIA AKE WAKIELEKEA KANISANI

Hivi ndivyo Barack Obama, Prezdaa wa USA alivyofanya 
Jumapili,  aliamua kutembea na familia yake kwa 
miguu kutoka (Ikulu) White House iliyopo
 Pennsylvania Ave. kwenda kanisa la St. John’s Episcopal 
liliopo Washington DC ambapo walihudhuria 
ibada ya PASAKA.




STORI NA PICHA KWA HISANI YA SAMMISAGO.COM

MAREKANI KUFUATILIA KESI YA VIONGOZI WATEUL KENYA

Habari kutoka Idhaa ya kiswahili ya DW imeripoti ya
 kwamba Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imesema 
Marekani itafuatilia kwa makini hatua za viongozi
 wateule wa Kenya katika kukidhi matakwa ya mahakama
 ya uhalifu ya kimataifa -ICC- kutokana na tuhuma zinazowakabili.
Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari msemaji wa 
wizara hiyo Hilary Renner amesema watashiriki ipasavyo katika
 kulifuatilia suala hilo.

SOURCE DW IDHAA YA KISWAHILI

PICHA MBALI MBALI KUTOKA FACEBOOK

Kula kiapo sio bungeni tu 
Basi kama hili linafaa sana hapa
Dar es Salaam
hususani
katika msimu huu wa mvua
Mario Baloteli akiwa amelala
katika sehemu
ya kuhifadhia mabegi katika treni



KAMA ULIKOSA KULICHEKI GOLI LA DE MBABA LICHEKI HAPA


GUCCI MANE - NOTHING ON YA (Feat. Wiz Khalifa) [Official Music Video]

HIKI NDICHO JACK WOLPER ALICHOMTUMIA MILLARD


Monday, February 18, 2013

FIKA KATIKA MADUKA YA HUSSEN PAMBA KALI UJIPATIE NGUO ZA UHAKIKA KWA BEI NAFUU

Aboubakar Sadick akipiga
ndani ya hussein
 pamba kali akichagua pamba.
Viatu vikali kwa bei poa kabisa

Wanaojua kuvaa hupitia hapa
kuchukua pamba kali
Pamba kali
Pamba kali

Wednesday, February 13, 2013

NORTHLAND HOTEL MAGOMENI MIKUMI NDIO HABARI YA MJINI

Hapa ndio NORTHLAND HOTEL MAGOMENI
 MIKUMI
kiwanja kipya cha kujidai
Mareceptionist wenye smile kali
kukusahaulisha stress zako
Vitanda vizuri vya hadhi yako
Room kali
Wahudumu watakaokupatia huduma
bora kabisa
muda wote utakapokuwa
NORTHLAND
Bar nzuri
vinywaji vya kila aina kwa bei
nafuu kabisa

Umeme kwetu sio tatizo. Tuna
stand by generator