![]() |
Thursday, May 9, 2013
Thursday, April 11, 2013
MZEE MAANDELA ARUHUSIWA KUTOKA HOSPITALI
Rais mstaafu wa Afrika Kusini, Nelson Mandela,
ameruhusiwa kutoka hospitali ambako akitibiwa homa
ya mapafu yaani pneumonia kwa siku kumi.
Serikali imetoa taarifa kusema kuwa hali ya Bwana Mandela,
mwenye umri wa miaka 94, imetengenea sana na ataendelea
kutibiwa nyumbani.
Hali ya Bwana Mandela ilishtusha mwezi Disemba mwaka
jana ambapo alilazwa hospitali kwa karibu majuma matatu kwa
sababu ya ugonjwa wa mapafu na kijiwe kwenye nyongo.
Rais Zuma aliwashukuru matabibu na wauguzi kwa jitihada yao ya
kumuungalia Bwana Mandela kwa uzuri.
Sunday, April 7, 2013
TAARIFA YA KWAMBA DIDY NDIYE RAPA MWENYE MKWANJA MREFU SIO SAHIHI HATA KIDOGO
katikati ya wiki iliyopita FORBES MAGAZINE lilimtangaza rapa Diddy kwamba ndiye rapa anayeongoza kwa kuwa na mkwanja mrefu zaidi ambao ni zaidi ya $500M.lakini ukweli ni kwamba kiwango hicho sio sahihi na kuna tetesi ya kwamba Didy hana mkwanja kihivyo na huu ndio ukweli.
Hackers released Diddy's credit report earlier this week, and it showed some CRAZY ISH (so we hear). Here is what his credit report showed:
-Diddy is more than 90 days late on a home equity loan – and he has been this late for the past 3 years!!What he FREAK is up with that . . . we ain't never heard of no one THAT RICH getting their home FORECLOSED!!!
-One of Diddy’s homes was FORECLOSED upon – for $622K
-One of his AMEX Black cards was sent into COLLECTIONS late last year.
-Diddy likes to floss, he once owed $1.8MILLION – in credit card expenses.
Friday, April 5, 2013
EX GIRLFRIEND WA CHRIS BROWN KARRUECHE SASA ANATKA NA STAR WA NBA
NBA baller John Wall is now dating Chris Brown's EX Karrueche.
The two have been SEEING each other recently (and sub-tweeting each other).
But now, we're told, that it's official. Karrueche got herself a new
BALLER. Oh, and John Wall ain't just ANY OLD PLAYER.
He's up for contract this year and is expected to get the
HIGHEST CONTRACT ALLOWABLE under NBA rules.
STORI KWA HISANI YA MEDIATAKEOUT
|
HAWA NDIO PANYA WANAOPEWA MAFUNZO YA KUGUNDUA MABOMU YALIYOTEGWA ARDHINI HUKO MOROGORO
![]() |
Shirika moja
lisilo la kisrikali la huko
Ubelgiji APOPO
limeanza kuwfundisha panya namna ya
kutambua mabomu
katika ardhi, panya hao wanafanyiwa
majaribio mkoani
Morogoro
hapa Tanzaania
|
![]() |
Hapa anapata
zawadi kutokana na kufanya
vizuri katika mafunzo yake
|
![]() |
SOURCE DW |
Thursday, April 4, 2013
Wednesday, April 3, 2013
Tuesday, April 2, 2013
BARACK HUSSEIN OBAMA ATEMBA KWA MIGUU PAMOJA NA FAMILIA AKE WAKIELEKEA KANISANI
MAREKANI KUFUATILIA KESI YA VIONGOZI WATEUL KENYA
PICHA MBALI MBALI KUTOKA FACEBOOK
Saturday, March 9, 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)


















