contact

husen

Sunday, May 20, 2012

20% AIBUKA KIDEDEA

Katika mtanange wa nani zaidi unokujia kila siku za jumapili kuanzia saa

 8 mchana hadi 10 kamili za jioni kupitia Radio One. leo alikuwepo

 20% na Chamillione na kushudia Chamillione akidondokea

 pua mara baada ya simu 22 kusema kuwa 20% zaidi.

 hata hivyo Chamillione ameambulia kura 10 tu


No comments:

Post a Comment