contact

husen

Monday, May 21, 2012

TUSHIKAMANE PAMOJA FOUNDATION YATIMIZA MIAKA MIWILI


Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Shy-Rose Bhanji,
 akipita jukwaani na vazi la Harusi kwa mikogo, 
 wakati wa hafla ya maadhimisho ya kusherehekea
 kutimiza miaka miwili ya Taasisi ya Tushikamane
 Pamoja Foundation, iliyofanyika kwenye Ukumbi
 wa Diambond Jubilee, jana Mei 20, 2012

Mke wa Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, 
Mama Margareth Samue Sitta, akipita jukwaani 
na vazi la asili kwa mikogo, wakati wa hafla ya
 maadhimisho ya kusherehekea kutimiza miaka miwili ya
 Taasisi ya Tushikamane Pamoja Foundation, iliyofanyika 
kwenye Ukumbi wa Diambond Jubilee,
 jana Mei 20, 2012.


Mchezaji wa mpira wa Kikapu, Hasheem Thabeet, akipita jukwaani
 na vazi la asili kwa mikogo,  wakati wa hafla ya maadhimisho
 ya kusherehekea kutimiza miaka miwili ya
 Taasisi ya Tushikamane Pamoja Foundation,
 iliyofanyika kwenye Ukumbi wa 
Diambond Jubilee, jana Mei 20, 2012

No comments:

Post a Comment