Monday, August 20, 2012
SERGIO AGUERO AANZA VIBAYA MSIMU WA 2012/2013
Klabu ya Manchester City imepata pigo mara baada ya
mshambuliaji wake raia wa Argentina Sergio Aguero 24
kuumia goti katika mchezo
wao wakwanza dhidi ya
Southampton katika mchezo ambao Man City waliibuka
kidedea kwa ushindi wa magoli 3 – 2. Aguero ametweet
na kusema "it had been a tough hit" to his
right knee but said
there was no significant injury".

City
expect to find out the extent of the injury in the
next 48 hours once the
results of a scan are known.
TONNY SCOTT AFARIKI DUNIA
British blockbuster film director Tony Scott amefariki dunia
mara
baada ya kujirusha toka katika daraja moja lililopo
Los Angeles. Tony Scot
mwenye umri wa miaka 68 ni
mzaliwa wa North Shields. Umaarufu wake huko
hollwood
umetokana na kudirect movi kali kama
Gun, Days Of Thunder, and Beverley Hills
Cop II.
Taarifa za awali ambazo zimetolewa zinaeleza ya
kuwa gari la Tony
aina ya Toyota Pirus lilikutwa likiwa
limepaki karibu na eneo hilo
Sunday, August 19, 2012
CHELSEA YAILAZA WIGAN 2 - 0
Klabu ya Chelsea imeanza vyema msimu wa ligi kuu
England
kwa kuilaza Wigan katika ushindi wa mabao 2 – 0 magoli
ambayo yalitiwa
nyavuni na Branislav Ivanovic mara baada
ya kupokea pasi murua toka kwa Eden Hazard. Goli la pili
lilitiwa kimyani na
Eden Hazard kwa changamoto ya mkwaju
wa penalty mara baada ya kufanyiwa
madhambi na
Wigan's Ivan Ramis
WAZIRI WA DINI SUDAN AFARIKI DUNIA
Waziri wa dini wa Sudan Ghazi al-Sadiq Abdel Rahim ni
miongoni
mwa watu 31 waliouwawa katika ajali ya ndege.
Shirika la habari la Sudan limesema kuwa mawaziri wengine
wawili na pia
viongozi wa chama kinachotawala cha
Omar el-Bashir pia waliuwawa.
Ndege hiyo ya abiria ambayo pia ilikuwa imebeba wakuu
kadhaa wa kijeshi
ilianguka katika eneo la milima ya Nuba
Ndege hiyo ilikuwa ikielekea eneo la Kordofan ya Kusini
kwa sherehe za Eid
al-Fitr ili kuuaga mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Mbali na waziri huyo wa maswala ya kidini
Ghazi al-Sadiq Abdel Rahim wengine
waliofariki katika
ajali hiyo ni mwenyekiti wa chama, Makki Ali Balayil,
waziri
wa vijana na michezo, na Issa Daifallah, waziri
wa utalii na wanayma pori.
Ndege hiyo ilianguka katika eneo la Talodi huko Kordofan
ya Kusini, ikiwa
imetoka mji mkuu Khartoum
Mji huo wa Talodi, uko kilomita 50 kutoka mpaka wa Sudan Kusini.
Taarifa za runinga ya taifa zinasema kuwa hali mbaya ya anga
iliizuia ndege
hiyo kutua na ilipojaribu mara ya pili iligonga mlima.
Afisa mmoja wa shughuli za ndege alisema kuwa ndege
hiyo ilikuwa ya aina ya
Antonov.
Katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ajali kadhaa mbaya za ndege.
Maafisa wa Sudan wamekuwa wakilalamika kuwa imekuwa
vigumu wao kupata vipuri
kwa sababu ya vikwazo vya Marekani.
MLIPUKO WA BOMU WAUWA WATU WAWILI NA KADHAA KUJERUHIWA
Maafisa wa usalama wa Libya wamesema mabomu mawili
yaliyokuwa
kwenye gari yamelipuka katikati ya mji mkuu wa Tripoli,
moja karibu na ofisi ya wizara ya mambo ya Ndani na jingine
karibu na chuo
cha kijeshi.
Taarifa zinasema milipuko hiyo imeua watu wawili na kuacha
wengine wanne
kujeruhiwa katika chuo cha zamani
cha kijeshi cha wanawake.
Hili ni shambulio kubwa la kwanza kutokea tangu kuondolewa
madarakani kwa
aliyekuwa kiongozi wa nchi hiyo
Muammar Gaddafi mwaka jana.
Mkuu wa Usalama wa mji Tripoli amelaani mashambulizi
hayo yaliyolengwa kwa
watu wanaomuunga mkono rais wa
zamani wa nchi hiyo marehemu Mummar Gaddaf.
Katika hosptali ya Al Jalaa iliyopo Tripoli, Wesan Abu Alsoude
ambaye binamu
yake aliuawa amelaumu mamlaka kwa
kushindwa kuchuchukua hatua kuzuia shambulio
hilo.
RAISI WA AFRIKA KUSINI JACOB ZUMA ATANGAZA SIKU ZA MAOMBOLEZO
Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma ametangaza kipindi cha
maombolezo
nchini humo kufuatia mauaji ya wachimba madini thelathini na
wanne
yaliyofanywa na polisi,
wakati walipokuwa wakiandamana kudai malipo bora zaidi ya kazi.
wakati walipokuwa wakiandamana kudai malipo bora zaidi ya kazi.
Bwana Zuma pia ametaka tume ya uchunguzi ya kisheria ichunguze
mauaji hayo
katika mgodi wa madini meupe yaani PLATINUM
eneo la Marikana.
Wakati huohuo wachimba madini wameamriwa kurejea kazini
siku ya Jumatatu la
sivyo watafukuzwa kazi.
Lakini wengi wamesema kumaliza mgomo wao sasa ni sawa na
kuwadhalilisha
wenzao waliouawa.
Wanasema watarejea kugoma katika eneo la mgodi huo na wataendelea
kushinikiza
malipo bora zaidi ya kazi.
Hata hivyo chama cha wafanyakazi wa migodi cha NUM ambacho
kina uhusiano wa
karibu na chama tawala cha ANC - kinasema
wanachama wake wamekubali kurejea
kazini.
Mmoja wa wachimba madini hao Vuyisile Mchiza, amesema
atarejea kazini iwapo
idadi kubwa ya wenzake watakubaliana
kusitisha mgomo.
''Iwapo idadi kubwa watarejea kazini kesho, basi na mimi
nitakwenda''.
Anasema. ''Iwapo wengi hawatakwenda kazini
nami pia sitakwenda, kwasababu
sitaweza kufanya kazi wakati
wengine wakiwa bado wanaomboleza''.
MGANGA WA KIENYEJIAKAMATWA NA MABOMU TABORA
Mtu mmoja aitwae Msindi Kasaki anaekadiriwa kuwa na umri
wa miaka 68 mkazi wa kata ya Ololangulu wilayani Uyui
mkoani Tabora, anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani humo
kwa tuhuma za kukutwa na mabomu manne nyumbani kwake.
Kamanda wa Polisi mkoani Tabora Anthony Rutta amesema
kukamatwa kwa mtuhumiwa huyo anaesadikiwa kuwa
ni mganga wa tiba za asili kumefanikiwa baada ya taarifa
kutoka kwa msamaria mwema.
Amesema baada ya hizo taarifa askari walikwenda kwenye
eneo hilo ambapo baada ya upekuzi na kumuhoji, Msindi
alikiri kuhifadhi mabomu hayo ambayo alikua ameyachimbia
chini ya ardhi nyuma ya nyumba yake yakiwa ni mabomu
manne ya kutupa kwa mkopo ndani ya mfuko.
Kamanda Rutta ameongeza kwamba utafiti uliofanywa na
polisi inasemekana hayo mabomu yaliagizwa nchi jirani na
lilikua limeandaliwa tukio kwenda kufanya uhalifu kwenye
mnada mmoja mkoani Tabora
picha na stori kwa hisani ya millardayo.com
ARSENAL WAANZA VIBAYA msimu wa 2012/2013
Usiku wa tarehe 18/82012 ulikuwa ni usiku mbaya kwa
arsenal kwani
walijikuta wakiambulia patupu mara baada
ya kushindwa kufua dafu katika uwanja
wao wa
nyumbani dhidi ya sunderland mara baada ya
kumuachilia RVP kwa kitita
cha £22million.
Arsene Wenger amekiri yakwamba kwa sasa pengo
la RVP limeonekana
wazi. Mambo yatazidi kuwa mabaya
sana kwa washika bunduki hao wa London kwani
kuna tetesi zinazomuhusisha Alex Song kutimkia huko
nchini Hispania na kujiunga
na Barcelona kwani
ameonekana dhahiri kuonekana kuwa na nia ya
kujiunga na
klabu hiyo.
Katika mechi za Pre Season Arsenal walikuwa wakipata
ushindi wa
ngamia kupita kwenye tundu la sindano
licha ya kuwa na wakali waliosajiliwa
katika msimu
huu wa joto kama Podolski pamoja na Olivier
Giroud
ambao ndio walioshika roho ya timu hiyo
Saturday, August 18, 2012
UGONJWA WA EBOLA WAIBUKA HUKO DRC
Ugonjwa wa Ebola umezuka kaskazini mashariki mwa
Jamhuri ya
Demokrasi ya Congo.
Wagonjwa wawili wamethibitishwa kuwa na virusi,
mmoja wao amefariki.
Shirika la matibabu la MSF, lenye watu wake Isiro,
linasema hatua
zinachukuliwa ili kumtafuta na kumtenga
mtu yeyote ambaye aliwakaribia wale
walioambukizwa.
MSF inasema aina ya virusi vya Ebola ya Congo ni tofauti
na ile ya Uganda,
ambayo iliuwa watu 16 mwezi uliopita.
P SQUARE WASAMPLE NGOMA YA TIMAYA
Tarehe 16/08/2012 Peter na Paul Okoye waliachia ngoma yao
mpya inayojulikan kwa jina la Alingo....Alingo imeachiwa
muda ambao track ya Beautfully Onyinye ikiwa bado hot na
inaendelea kutesa kwenye charts za radio na
tv stations mbali mbali
dunian.
P square wameingia kwenye kashfa ya kuiba wimbo wa msanii
Timaya
unaoitwa shake your Bum.
Baadhi ya wanigeria waliotoa maoni yao wanasema ni
dhahiri mapacha hao wameiga wimbo huo....Sikiliza nyimbo
zote halafu uotoe coment zako...
STOO YA BSS YATEKETEA KWA MOTO
Ijumaa ya August 17 2012 na ijumaa nyingine kabla ya hii ya
August 17 zimekua siku mbaya kwa Madame Rita Paulsen
Big boss wa Benchmark Production ambayo ndio muandaji wa
mashindano ya Bongo star search.
August 17 shoti ya umeme imemsababishia hasara sio chini
ya milioni hamsini za kitanzania baada ya nyumba iliyokua
inatumika kama stoo ya vifaa vya production Benchmark
kuteketea yote kwa moto pamoja na vitu vilivyokuwemo ndani.
Madame amesema shoti ya umeme ilitokana na transfoma
ambayo ipo karibu na ofisi yao Kawe Dar es salaam ambapo
ofisi yote ilikua iungue ila shoti ilipofika kwenye ofisi kubwa
umeme ulijizima wenyewe kutokana na kifaa maalum
kinachoweza kuzuia shoti, hivyo nyumba ndogo ya stoo
iliyokua na vifaa vya productions vilivyokua vinatumika kwa
miaka kumi Benchmark production ndio ikateketea.
Tanesco wamethibitisha kweli kwamba ajali ya moto imetokana
na shoti ya umeme ambapo zimamoto walichelewa kufika
kwenye eneo la tukio kwa zaidi ya saa moja na nusu huku
wakisema foleni barabarani ndio iliyosababisha, hakukua
na njia ya kuuzima huo moto hivyo Madame Rita na timu
yake walibaki wakitazama tu nyumba ikiteketea.
Nilipomuuliza Madame kuhusu msg niliyotumiwa ya uwezekano
wa BSS kusimamishwa kutokana na hiyo ajali ya moto, namkariri akisema
“nahisi huyo jamaa labda alikua anataka hivyo lakini BSS haiwezi
kusimama kuruka hata siku moja, hata nikifariki”
picha na stori kwa hisani ya millardayo.com
Friday, August 17, 2012
LAKHADR ATEULIWA KURITHI MIKOBA YA KOFFI ANANN
Mwanadiplomasia Lakhdar Brahimi kutokaAlgeria ameteuliwa kuwa
mrithi wa mikoba ya Koffi Annan katika mchakato wa kutatua
migogoro huko Syria ambaye alijiuzulu. Jina lake limetangazwa
na Eduardo Del Buey kwa niaba ya U.N. Secretary-General Ban
Ki-moon,
mapema jana.Hapo awali Lakhadar alikuwa muwakilishi maalumu wa
U.N huko Iraq pamoja na Afganstan
“ wakati wa kupatikana kwa amani na ufumbuzi wa migogoro ya huko
Syria Umefika kwani lengo kubwa la U.N kwa sasa ni kutatua mgogoro
huo likisaidiwa na Mataifa yenye nguvu duniani kama Marekani na
tayari
U.S. Secretary of State Hillary Clinton ameshamtumia ujumbe wa
kumkaribisha” amesema Erduado.
Licha ya Mr Brahimi kuwa katika jopo la wanadiplomasia wakongwe
duniani pamoja na kuwa Waziri wa mambo ya nje huko Algeria,
TBC YAOMBA RADHI
radhi waislam nchini kwa kutoa takwimu zisizo sahihi
za waislam
na wakristu.
Mkurugenzi mkuu wa shirika hilo Clement
Mshana
amefafanua kupitia kipindi cha Jambo Tanzania leo
asubuhi kwa kukiri kuwa
mmoja wa watangazaji wa
TBC1 alitaja takwimu za wakristu kuwa ni asilimia 52%
na waislam asilimia 32% zilizopatikana kutoka
mtandao wa Wikipedia.
kwakuwa takwimu hizo sio sahihi.
Mshana alikiri kuwa TBC ilifanya kosa
kuunukuu mtandao
wa Wikipedia na kudai kuwa chombo chenye
mamlaka na cha
kuaminika ni Wakala wa Takwimu
nchini na sio
wikipedia.
Mkurugenzi huyo amesema tarehe 15, May,
2012 shirika
hilo liliandika barua ya kuomba radhi kwa jumuiya ya
waislamu
nchini na kumpa onyo mtangazaji aliyetaja
takwimu hizo.
takwimu hizo.
Ametaka waislam kusahau yaliyopita na
kuutumia
mwezi huu wa Ramadhan kusamehe huku akiwataka
wananchi kujitokeza zaidi
kwenye zoezi la sensa
litakalosaidia kupatikana kwa takwimu sahihi.
ARSENE WENGER AJIPA MOYO
Kocha wa Arsenal
Arsene Wenger amesema kitendo ambacho kimefanywa
na Arsenal cha kumuuza Robin
Van Persie kwa klabu ya Manchester United
ilikuwa ni zaidi ya mchezo wa kamari
kwani alikuwa mhimili mzuri
katika klab yake ya hapo awali.
kitendo hicho
kimewasononesha sana mashabiki wa arsenal lakini
ukweli ni kwamba mchezaji anapotaka kuhama klabu kuna mambo
mawili tu ya kufanya. Kumlazimisha kubaki au kumruhusu
kuondoka na kwenda
anapotaka.
Klabu ya Arsenal imepata
pigo katika misimu kadhaa mfululizo kwa kuwapoteza
wachezaji kama Cesc
Fabregas, Sameer Nasri pamoja na
Alex Song ambaye yuko mguu nje mguu ndani
kusalia kilabuni hapo
Wenger amesema
yakwamba anafahamu anakabiliwa na changamoto
kubwa lakini anaimani yakwamba
watazitatua changamoto hizo kwani
Arsenal ni klabu kubwa yenye takribani miaka
125 na kuongeza
ya kwamba walishapita wachezaji wengi wazuri kilabuni hapo
hivyo
anaamini timu yake itakuwa fiti very soon
KOFII OLOMIDE MATATANI

Mwanamuzi mashuhuri nchini kongo(DRC)
Anton Akgeba Makila Mabe
maarufu pia kama Koffi Olomide aka
Mopao Mokonzi, Aswekwa
lupango na pia kafikishwa kwa Pilato
Mwanamuziki huyo alikamatwa na kufungiwa katika kituo cha polisi
na
kufikishwa mahakamani
jumatano.
Koffi alikamatwa kufuatia vurugu katika hoteli moja mjini
Kinshasa.
Waandishi wa habari wanasema mahakama hiyo ya Kinishasa ilifurika
kutokana na watu wengi kuja kumuona kiongozi huyo wa
bendi ya Quartier Latin akiwa kizimbani.
Kesi hiyo iliharishwa hadi Alhamisi asubuhi wakati
atakaposhitakiwa rasmi.
Wakati wa kesi hiyo hapo jana Koffi Olomide aliwakilishwa na
mawakili 10.
Ugomvi kati ya mwanamuziki huyo na mtayarishi wake Bwana , Diego
Lubaki,
ni kuhusu pesa dola $3,680.
Hakimu alimfahamisha mwanamuziki huyo ikiwa atapatikana na hatia
huenda akafungwa jela miezi sita.
Olomide ni gwiji wa muziki aina ya "soukous", mtindo
ulitokana na jina la kifaransa
"secouer", lenye
maana ya kujitikisa au kujinengua ,
na wachezaji wake vile vile wanatambulika kwa kunengua maungo.
stori kwa na picha kwa hisani ya djchoka.blogspot.com
Thursday, August 16, 2012
NICKI MINAJ AFUNGUKA NA KUSEMA FOXY BROWN NI MMOJA KATI YA WATU WALIOMFANYA AINGIE KATIKA GAME
Nicki Minaj's love for Foxy Brown runs deep. After surprising a
New York City, New York crowd at Roseland Ballroom with
an appearance from Fox Boogs, the Harajuku Barbie sat
down with MTV News to discuss just how much the Ill
Na Na means to her, calling her the "most influential
rapper to me" and emphasizing the importance of paying
homage to rappers while you still can.
"I never really told Foxy how much she has influenced me
and how much she changed my life, and you've gotta tell people
that when they're alive to even be able to take the compliment,
instead of paying tribute to them when they're no longer here,"
she said. "I never really knew how she felt about me — in the industry,
with women, you kinda just tread lightly — and I'm glad I was able to finally
come out and say: 'You were the most influential female rapper to me.'"
The Young Money rapstress also called Foxy's appearance
at her show "emotional,"
stating that she wanted nothing but to give thanks to her for opening the
door and allowing her to shine.
"For her to be on my stage, it was emotional, and she was emotional,"
she continued. "This is what this is really about. When you get where
you have arrived to, you give thanks to people who opened those
doors and triggered something in your mind. When I found
out Foxy Brown was from Trinidad, that did something to me.
In my mind, I felt like I could be proud of where I'm from."
Subscribe to:
Posts (Atom)